Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataarifa za ndani sana mkuu bila shaka utakuwa jasusi katika moja ya idara hapo Ukraine maana taarifa ndio unaitoa wwKuna habari humu a very high-ranked russian general amedakwa kama kuku. Saa hizi yuko chumba maalumu "anaharisha pipi" moja baada ya nyingine hadi kieleweke.
Hahaaa!!pro russia huko mambo yamebadirika, jaribu hata kuangalia tv ya taifa ya RUSSIA, (RT)propaganda zimewaishia sasa.Wanajeshi wenyewe wengi wametoroka, kuna mwingine anatafuta hadhi ya ukimbizi UFARANSA, ana kwambia wahana molari ya kupigana kabisa, na wanakufa sana, kwani hawako organised kabisa.Source Yahoo dot com mtu unaegemea nini kutoka ..kwenye chombo kama hicho zaidi ya sensational news designed to demonise Russia and Putin in particular.
FYI,Warusi hawafanyi maigizo ya Hollywood - wana taratibu zao ya kutoa maelezo ya (BDA) kwenye media briefing ya operations zao za kivita - hawalazimiki kusema chochote kwenye operations zao - repeat, vyombo vya magharibi vina moral Authority gani ya kutaka kulazimisha Urusi iseme kile MSM za magharini zinazp taka kusikia kutoka jeshi la Urusi.
Urusi ni taifa huru linalo jiamini, hakuna anaye weza kulikalia kooni.