Source Yahoo dot com mtu unaegemea nini kutoka ..kwenye chombo kama hicho zaidi ya sensational news designed to demonise Russia and Putin in particular.
FYI,Warusi hawafanyi maigizo ya Hollywood - wana taratibu zao ya kutoa maelezo ya (BDA) kwenye media briefing ya operations zao za kivita - hawalazimiki kusema chochote kwenye operations zao - repeat, vyombo vya magharibi vina moral Authority gani ya kutaka kulazimisha Urusi iseme kile MSM za magharini zinazp taka kusikia kutoka jeshi la Urusi.
Urusi ni taifa huru linalo jiamini, hakuna anaye weza kulikalia kooni.