Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukiritimba kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.
Iran summons Russia’s envoy again over islands dispute with UAE
This is the second time the Russian envoy to Tehran is being summoned over the same issue.www.aljazeera.com
Kumbe Putin kuna wakati anakuwa na busara.Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukiritimba kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.
Iran summons Russia’s envoy again over islands dispute with UAE
This is the second time the Russian envoy to Tehran is being summoned over the same issue.www.aljazeera.com
Hapo mwarabu ni UAE na nani?Waarabu wanaenda kugawanyika zaidi na mwisho wa siku faida itaenda Kwa wazungu
[emoji1787][emoji14][emoji3]Wakati mzozo wa kugombania visiwa vidogo katika ghuba ya Hormuz ukirindima kati ya mataifa mawili ya Iran na Falme za Kiarabu (UAE), Iran imeshtushwa na kitendo cha mshirika wake mkubwa Russia kuiunga mkono UAE katika mzozo huo.
Iran summons Russia’s envoy again over islands dispute with UAE
This is the second time the Russian envoy to Tehran is being summoned over the same issue.www.aljazeera.com
Nendeni sasa mukaung'oe [emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe Putin kuna wakati anakuwa na busara.
Iran ni mhimili wa uovu huko mashariki ya kati
[emoji1787][emoji14][emoji3] [emoji635] na [emoji1130] kwa sasa huwezi kuwagawa kijinga jingaWaarabu wanaenda kugawanyika zaidi na mwisho wa siku faida itaenda Kwa wazungu
Wala usihofu, utang'oka tuNendeni sasa mukaung'oe [emoji3][emoji3][emoji3]