green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilisema jana Jumatano kwamba Hezbollah bado iko imara na haijapoteza uimara wake kwenye uongozi licha ya mashambulizi ya Israel, ambayo Moscow ilisema yana lengo la kuchochea mgogoro wa kivita katika Mashariki ya Kati.
"Kwa mujibu wa tathmini zetu, Hezbollah, ukijumlisha na kitengo chake cha kijeshi, haijapoteza mfumo wake wa uongozi" alisema Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje, Maria Zakharova, kwa waandishi wa habari.
Zakharova alisema kuwa Mataifa ya Magharibi, hasa Marekani na Uingereza, yanachochea mgogoro huo katika Mashariki ya Kati na kuonyesha unafiki kwa kuunga mkono Israel ambayo inasababisha vifo vingi vya raia nchini Lebanon.