Russia yasema Hezibollah wanafanya vyema kwenye uwanja wa Vita

Israel wanachapika na hizbullah,kyriat shmona,safe,galilaya hakukaliki, iron dome haifanyi kazi
Hongereni ila IDF amazonian mbele tu...

Propaganda za waarabu hazijawahi wasaidia mbele ya Israel.. alishindwa mtume wa waarabu mtaweza nyie?
 
Huo ndiyo ukweli! Israel inachokifanya ni uharibifu wa mjengo,miundombinu na mauaji ya raia wasio na hatia!
Mazungumzo ndiyo njia pekee ya kumaliza vita.
 
Russia ndo wameishiwa akili kiasi hiki?

Ama kweli, mtu akiwa mshabiki wa warabu ni sawa na mtu kuishabikia ccm

Lazima akili zichomolewe kwanza

Kufanya vyema kwenye nini yaani
Vodka zina tabia ya kuyumbisha dishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…