Russia yatoa Masharti ya kusitisha mapigano huko Ukraine!!!

Mpaka sasa Warusi wapo kwenye majimbo 8 ambayo ni Kherson, Luhansk, Donensk, Kharkiv, Sumy,Zaphorozhia,Dnipro na Crimea.

Ina maana kakubali kuondoka kwenye majimbo mengine ili kupisha makubaliano, sasa Ukraine wao wanaona kama ugumu kutoa ardhi ila watu wanaendelea kufa huku ardhi inaendelea kuchukuliwa
 
Russia hata hayo mahimbo hajayachukua yote amechukua nusu nusu tu. Kwenye hayo maji bo kuna sehemu yako majeshi ya Ukraine yanadhibiti. Narudia tena Russia hajayachukua uthibiti kamili wa majimbo hayo!!!
 
ikiwa Russia itafutika kwenye uso wa dunia basi, Mungu kwa mara nyingine ataiangamiza dunia na kuleta viumbe wapya. tangu mtume Mohammed alipoondoka, Russia imekuwa kama acting prophet katika kumaintain social n political situations. sasa enyi mabepari je mnataka kumuangamiza nabii wa Mungu?
 
Putin kubwa jingaaa, ameishia mikwara ya nyuklia, ajikune tu afutwe kwenye uso wa duniaa... West wanamla timing tuu
 
Russia hata hayo mahimbo hajayachukua yote amechukua nusu nusu tu. Kwenye hayo maji bo kuna sehemu yako majeshi ya Ukraine yanadhibiti. Narudia tena Russia hajayachukua uthibiti kamili wa majimbo hayo!!!
(1) Crimea -100%
(2) Luhansk-100%
(3) Zaporizhia-79%
(4)kherson-78
(5)Donensk-75
(6)Kharkiv-5%
(7)Sumy -5%
Unasemaje hapo
 
Back
Top Bottom