Russian forces withdraw from snake island

umeandika pumba sana , ukraine kutokuwa na jeshi la majini ndo ina maanisha warusi hawakitaki hiko kisiwa ? unajuwa malengo ya Urusi kweny hii vita ?
 
hahahaa na sisi warusi wa mchongo tunasema Putin oyeeee
 
Subirieni kusikia wanajeshi 6000 wa Ukraine wamezungukwa kama kuku. Kawaida ya Mrusi huenda kuandaa formation upya.
mpk ww ujue yaan waukraine wasijue wkt wao wapo kweny vita na ndo wanaisoma vita walikosea wapi na walipatia wap , yaan hata hicho unachoandika wao ndo walikileta kwenye public
 
kuwa kiakili zwazwa ww , wenzio wanakufa wanakimbiza uhai wao , ww unasema tunarudisha mpira kwa kipa
Wewe zwazwa mwenye akili nyingi,umeelewa nini niliposema "tunarudisha mpira kwa kipa!?"
Nalog off  Z
 
HIMARS zikiingia field watapata tabu sana hao wavamizi.
 
HIMARS zikiingia field watapata tabu sana hao wavamizi.
Hata mizinga 2s22 ya Ukraine, Cesar ya Ufaransa na Panzerhaubitze 2000 ya Ujerumani ni tatizo kwa Urusi; maana nimeona mizinga ya Warusi wanatumia tu grenedi aina za Krasnopol zinazoweza kulengwa kwa msaada wa laser - ila kwa umbali wa 20 km pekeee, ilhali 2s22, Cesar na Panzerhaubitze zinapiga hadi kilomita 40.
Grenedi ni bei nafuu sana pia ndogo kuliko roketi zina faida kwa umbali huo ukiangalia gharama na kupeleka risasi mpya mbele.

Pia Krasnopol inategema laser, yaani unahitaji droni juu ya shabaha au mtazamaji karibu na shabaha; bila laser ni hovyo. Kinyume Cesar na Panzerhaubitze zinaweza kutumia data za GPS kwa hiyo si lazima kushika laser sawasawa hadi grenedi inafika. Unapita kwa droni, unachukua data za GPS na kuzituma kwa kikosi cha mizinga, dakika 5 baadaye wanapiga, ilhali droni yako imeshaendelea.
Sijaona Warusi wanayo kitu kama hicho kati ya mizinga yao.
Roketi wanazo, ila hapa inaonekana akiba yao ya roketi janja haitoshi tena. Tena kuna swali la ubora wa mifumo yao, jinsi ilivyoonekana kwenye shambulio la lile supermarket walipokosa kupiga kiwanda walicholenga, badala yake kupiga mall kando yake.
Mara nyingi wanatumia hizo BM-21 Grad zinazorusha roketi nyingi mara moja ila hizo huwezi kulenga kwa umakini, unamwaga moto kwa eneo fulani.
 
Himars na caesars si wazuri hao ni wazee wa kazi, kiufupi watasepa kila sehemu
Hizo himarz na silaha zingine US alizopeleka Ukraine, zikianza kazi tu, miji yote russia aloikamata ukraine ataiachia.
 
Sasa walikichukua kwa ajili ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…