Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
supa power la kibisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akil umeacha wap?Russia has withdrawn due to ' goodwill'
Mauripol ni kisiwa kumbe ? bado tuna list kubwa ya vichaa
umeandika pumba sana , ukraine kutokuwa na jeshi la majini ndo ina maanisha warusi hawakitaki hiko kisiwa ? unajuwa malengo ya Urusi kweny hii vita ?Kwa akili za kawaida wala aina haja ya WARUSI kuendelea kukaa kwenye icho kisiwa wakati ni hatari kwao.ni bora kuondoka maana majeshi ya UKRAINE ni ngumu kukifikia icho kisiwa kwa sababu kwa sasa hawana jeshi la majini zaidi ya kushambulia kwa mizinga tu.
Kukaa kwenye kisiwa kama icho ni kuweka maisha ya wanajeshi hatarini.
hahahaa na sisi warusi wa mchongo tunasema Putin oyeeeeSawasawa. Hakuna vita Ukraine (special operesheni tu), Putin hakupigwa Kyiv (alitaka kuwatania Waukraine tu kidogo), maiti za Bucha zilipelekwa huko na jeshi la Ukraine . . .
Na vita - hapana SPECIAL OPERATION inaenda kufutana mpango wa awali. Pia kuondoka kwa Putin Snake Island hakuna uhusiano na mizinga ya Ukraine iliyoanza kupiga tangu juzi hadi kisiwa kile kwa uwezo wa kurusha grenedi 6 kwa dakika, hii yote ni kufuatana na mpango wa awali.
Tusisahau: Urusi ni Taifa Teule, si Zimbabwe (kwa nini Zimbabwe???) na Putin ndiye mwamba!
kuwa kiakili zwazwa ww , wenzio wanakufa wanakimbiza uhai wao , ww unasema tunarudisha mpira kwa kipaTunarudisha mpira kwa kipa kwanza
Nalog off Z
mpk ww ujue yaan waukraine wasijue wkt wao wapo kweny vita na ndo wanaisoma vita walikosea wapi na walipatia wap , yaan hata hicho unachoandika wao ndo walikileta kwenye publicSubirieni kusikia wanajeshi 6000 wa Ukraine wamezungukwa kama kuku. Kawaida ya Mrusi huenda kuandaa formation upya.
Wewe zwazwa mwenye akili nyingi,umeelewa nini niliposema "tunarudisha mpira kwa kipa!?"kuwa kiakili zwazwa ww , wenzio wanakufa wanakimbiza uhai wao , ww unasema tunarudisha mpira kwa kipa
HIMARS zikiingia field watapata tabu sana hao wavamizi.View attachment 2277701
Kifaa hiki kilikuwa tiba la Warusi kwenye Kisiwa cha Nyoka:
2S22 Bohdana is a 155 mm wheeled self-propelled howitzer developed in Ukraine. It is based on the 6×6 chassis of the KrAZ-6322. It has an armoured cabin and enough storage for around 20 shells. The howitzer has a minimum range of 780 meters, and a maximum range of 40 km with HE/AP ammunition or 50 km with a rocket-assisted projectile. It had an average rate of fire of six shells per minute.
In June 2022 the 2S22 Bohdana was reportedly used by Ukrainian forces to shell Russian forces on Snake Island, Ukraine from the Ukrainian mainland. This led to the withdrawal of Russian forces from the Island on June 30th.
Hata mizinga 2s22 ya Ukraine, Cesar ya Ufaransa na Panzerhaubitze 2000 ya Ujerumani ni tatizo kwa Urusi; maana nimeona mizinga ya Warusi wanatumia tu grenedi aina za Krasnopol zinazoweza kulengwa kwa msaada wa laser - ila kwa umbali wa 20 km pekeee, ilhali 2s22, Cesar na Panzerhaubitze zinapiga hadi kilomita 40.HIMARS zikiingia field watapata tabu sana hao wavamizi.
Hizo himarz na silaha zingine US alizopeleka Ukraine, zikianza kazi tu, miji yote russia aloikamata ukraine ataiachia.Himars na caesars si wazuri hao ni wazee wa kazi, kiufupi watasepa kila sehemu
Sasa walikichukua kwa ajili ya nini?Kwa akili za kawaida wala aina haja ya WARUSI kuendelea kukaa kwenye icho kisiwa wakati ni hatari kwao.ni bora kuondoka maana majeshi ya UKRAINE ni ngumu kukifikia icho kisiwa kwa sababu kwa sasa hawana jeshi la majini zaidi ya kushambulia kwa mizinga tu.
Kukaa kwenye kisiwa kama icho ni kuweka maisha ya wanajeshi hatarini.