Dr Alfonsi
Member
- Jun 16, 2023
- 36
- 72
Ally's star.Happ nation
Katarama& happy nationMabasi yapo mengi na yote mazuri. Nenda CBE kwenye booking office zao kata ticket ya basi lolote uanze safari saa 12 asbh ili ufike mapema kwakuwa ni mara ya kwanza.
Katarama zinaanzia DAR Na zikipita Dom zinakua full.Katarama& happy nation
Akate basi la VIPSatco,angalia sana sana namba D usije ukaleta ushuhuda hapa
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Hii namba imekuwa msaada Sana kufanikisha safari yangu... asante mkuu0675 939390 wapigie SATCO Dom Office
Wana usafiri wa kwanza saa kumi na moja alfajiri, Mwanza saa tisa!
Safari njema!
Nauli 35,000/-