Rutile in Malawi

Rutile in Malawi

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Malawi discovers largest rutile mineral reserves in the world @ 1.8 billion tonnes.
At present price, the wealth is 3 trillion USD.
Kwa viongozi wa kiafrica bado nchi itateseka na umasikini
FB_IMG_1650987843234.jpg
 
Malawi discovers largest rutile mineral reserves in the world @ 1.8 billion tonnes.
At present price, the wealth is 3 trillion USD.
Kwa viongozi wa kiafrica bado nchi itateseka na umasikiniView attachment 2201967
Hakuna nchi iliyoendelea duniani kwa kuuza malighafi. Bila viwanda vyetu tusitegemee maajabu. Wazungu ndio watakaonufaika na hayo madini na sisi tutaendelea kubaki na mashimo. Hivyo wamalawi wasishangilie sanaaaa!
 
Wala hawana habari, madini mengi sana yanachimbwa pamoja na yureniamu ila wanachokiona ni mashimo tu.
 
kwa hizi Replies inathibitisha kweli kuna watu wana IQ ndogo sana. Ukibisha na wewe humo
 
Africa bhana:

Eneo ilipogundulika litapigwa Uzio Mkubwa sana na kisha Ulinzi Mkali (Maximum Security) wa Jeshi tena... Kama pale Mererani kwetu.

Alafu marufuku Mzawa kutia Maguu hata kuukaribia ukuta kisha baada ya Miaka 2 au 3 utasikia kuna shimo limegundulika lililokua linayaiba na kuyasafirisha kimagendo kwahiyo nchi imepata hasara ya 2.8 or 3 Billion USD.

MARK THIS REPLY.
 
Mafuta Gass na madini yakigundulika kwenye inchi za Africa yanageuka na kua Kinyesi cha Ibilisi migogoro unaanzia hpo Amani inakua tena kitendawili tega
 
Back
Top Bottom