Ruto akijiuzulu, Gachagua RAIS

Ruto akijiuzulu, Gachagua RAIS

Unaijua katiba ya Kenya? Gachagua atakaimu Kwa siku 90 warudi Kwenye mstari WA kupiga Kura. Sio kama huku kwetu
 
Tunazidi kuwakumbukusha vijana wa Gen Z kuwa siku Ruto anajiuzulu mjue Katiba inamtaka Naibu Rais Dr Gachagua ndio awe Rais wenu. Hakika hali yenu itakua mbaya kuliko sasa.
Tayari huko
 
Back
Top Bottom