Kenya 2022 Ruto amestaafisha siasa Familia 3, Kenyatta, Moi na Odinga Family

Kenya 2022 Ruto amestaafisha siasa Familia 3, Kenyatta, Moi na Odinga Family

Kenya 2022 General Election
Mto-mada ameandika while ana-drive. Unakuta kila baada ya maneno 5 kuna makosa zaidi ya 7!!! Stop driving, ulete mada kwa utulivu.

Hata hujaeleweka unazungumzia kitu gani hAsa? Uchaguzi huo unarudiwa, au JK ndiye anachukua kijiti tena 2025 baada ya Bimkubwa?
 
Uhuru played Baba
None played none. Kwani mmesahau Uhuru alishindwa kipindi alikuwa na backup ya Moi. Wakenya ndo wameamua. Moi alimbackup Uhuru,Uhuru akashindwa na Mwai Kibaki. This tume Uhuru kambackup Raila.......tusubiri matokeo .
 
Kabisa, kilicho msaidia Ruto ni tume iko huru, yaani ingekuwa ni kama NEC Ruto angelia sana.

Ilifikia wakati wale mawaziri walikuwa wakipigia simu na Ruto hawapokei, wanapokea za Uhuru Kenyata pekee, kwa sasa wanajilaumu sana.
Matian'gi, Munya na Mucheru sijui wataficha wapi sura zao
 
None played none. Kwani mmesahau Uhuru alishindwa kipindi alikuwa na backup ya Moi. Wakenya ndo wameamua. Moi alimbackup Uhuru,Uhuru akashindwa na Mwai Kibaki. This tume Uhuru kambackup Raila.......tusubiri matokeo .
Baba alisababisha Uhuru kupelekwa The Hague, hata mimi ningekuwa ni Uhuru, I would have played baba .!
 
Tume huru ndio imesababisha kura kuhesabiwa na kutangazwa kwa haki huko Kenya. Hongera kwa wote waliopigania demokrasia ya kweli, hasa tume ya Uchaguzi kuwa huru.
Tunaangalia Bomas mubashara kusubiri kutangazwa kwa matokeo ya urais.
 
Pumba express, Uhuru Kenyatta anastaafu kwa mujibu wa katiba, by the way IEBC hawajataza matokeo tuliza hicho kijambio.
 
Ruto the hustler. Sema huku Magufuli alistaafisha familia za kifalme ndo hivyo tena jamaa wakamkatisha uhai wake.
Jiwe hakupokonywa uhai,alikuwa na vipengele vyake, Afya yake ilionekana wazi kuyumba muda mrefu
 
Back
Top Bottom