Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
None played none. Kwani mmesahau Uhuru alishindwa kipindi alikuwa na backup ya Moi. Wakenya ndo wameamua. Moi alimbackup Uhuru,Uhuru akashindwa na Mwai Kibaki. This tume Uhuru kambackup Raila.......tusubiri matokeo .Uhuru played Baba
matokeo kwani tayari?
Matian'gi, Munya na Mucheru sijui wataficha wapi sura zaoKabisa, kilicho msaidia Ruto ni tume iko huru, yaani ingekuwa ni kama NEC Ruto angelia sana.
Ilifikia wakati wale mawaziri walikuwa wakipigia simu na Ruto hawapokei, wanapokea za Uhuru Kenyata pekee, kwa sasa wanajilaumu sana.
Baba alisababisha Uhuru kupelekwa The Hague, hata mimi ningekuwa ni Uhuru, I would have played baba .!None played none. Kwani mmesahau Uhuru alishindwa kipindi alikuwa na backup ya Moi. Wakenya ndo wameamua. Moi alimbackup Uhuru,Uhuru akashindwa na Mwai Kibaki. This tume Uhuru kambackup Raila.......tusubiri matokeo .
Jiwe hakupokonywa uhai,alikuwa na vipengele vyake, Afya yake ilionekana wazi kuyumba muda mrefuRuto the hustler. Sema huku Magufuli alistaafisha familia za kifalme ndo hivyo tena jamaa wakamkatisha uhai wake.
Tanzania kupiga kura ni sawa na kupoteza muda wakoWakenya nimewakubali sana.wao wanachagua kutokana na kuelewa Sera za mgombea tofauti na Tanzanian ambapo mshindi hupatikana kwa amri ya chama acha ccm.watz tunaojitambua tuchukue hatua
Sent using Jamii Forums mobile app