Ruto amewaondoa Wabantu wote katika Serikali yake na kuwapatia vyeo wasomali. Lengo ni kuwaua Kisiasa milele nchini Kenya!

Mkuu hebu angalia Hargeisa kwenye youtube
Huo upande walikataa upumbavu huo wa Al Shabab na kuwauwa wote
Utaona wao mpaka kina mama wanauza dhahabu kama mama ntilie na hakuna wa kusogea kuna amani sana huko

Tatizo liko Mogadishu huko ndio balaa hao wanauwana kila leo na wanajaribu kuwamaliza lakini wapi mpaka wananchi waamue kama wenzao waliojitenga maana hawataki kuwasikia hao wa Mogadishu na wanataka kuwa na nchi yao maana walipewa uhuru na Uingereza ila wengine ni Italy

Mpaka wapate akili kama wenzao
Don't forget youtube 😉
 
Bahati nzuri mi nafuatilia sana horn of Africa hata hiyo miji yote.
Bro trust me wasomali si hao watu waliopo kichwani mwako!

sehemu nyingine kama somaliland na puntland wako free kutoka Kwa alshabab lakini vita vya wenyewe kwa wenyewe vinanuka mara kwa mara .
 

Attachments

  • F1E861B6-A4CD-415C-AD89-E241ED657E8D.jpeg
    25.5 KB · Views: 6
  • 0BBB6F71-FB24-4A00-A09F-C6E6258D4A47.png
    79.2 KB · Views: 5
  • D4F1ECEF-C09B-44B7-B0D2-C70AD66A9157.jpeg
    894.8 KB · Views: 6
Huelewi kitu hata kidogo, it seems you just bring street talk in the forum..!!
Unae elewa mbona unaondoka hata point moja hujaongea mkuu!!

Mi nimesema wamebalikiwa kwa ardhi na resources
mfano DRC, tz, south africa ,zimbabwe na zambia ,angola hzo nchi zina natural resource si za kuisha kwene kizazi chako au cha wanao
 
haujui labda unachokiongea lugha yao ilienda wapi? na kwa nini “adapt” kibantu nini kilitokea? kwa nini kimasai, kijaluo au hata kisandawe vipo ?
mzee usiniulize mimi hayo maswali!
Kama vyote hivo huvijui fungua uzi watu watakufundisha lakin usilete Quenstioner hapa!!

Changi mada kama hujui uliza watu watakufundisha
 
mzee usiniulize mimi hayo maswali!
Kama vyote hivo huvijui fungua uzi watu watakufundisha lakin usilete Quenstioner hapa!!

Changi mada kama hujui uliza watu watakufundisha

nakuuliza kwa sababu unaandika vitu usivyovielewa labda, kinyarwanda ni kibantu kama vile lugha za Uganda za akina Museveni sizijui zote, iko well documented kila mahali, ndio maana nikakuuliza hizo facts zako unazitoa wapi?
 
nakuuliza kwa sababu unaandika vitu usivyovielewa labda, kinyarwanda ni kibantu kama vile lugha za Uganda za akina Museveni sizijui zote, iko well documented kila mahali, ndio maana nikakuuliza hizo facts zako unazitoa wapi?
Aliyekataa kua kinyarwanda si kibantu nani??
 
sasa unanichanganya, umeandika Ruto, Museveni na Kagame wana conspire dhidi ya Wabantu, nikakuuliza kwa nini Museveni awe dhidi ya Wabantu wakati na yeye ni Mbantu?
Ndio maana mkuu nikakwambia ukiwa hujui uwe mpole sio kujifanya mjuaji!!

Wabantu ni watu wanaoongea lugha ya kibantu (nadhani hivi ndivo unavofahamu)
Lakin pia wabantu wanashare genetic ya bantoid

hivo kusema wabantu waliitwa wabantu kwasababu licha ya kua wanatofautiana makabila lakini kuna similarity ya lugha zao kuashiria kwamba yamkini mwanzo ilikua lugha moja.
Pia wabantu wana share genetic similarities inayosuggest walikua na original moja.

hivo
msomali akiongea kiswahili hakimfanyi kua mbantu ila anakua anaongea bantu language
Ww ukiongea kiarabu hakikufanyi uwe muarabu genetically ingawa utakua unaongea lugha ya kiarabu.

sijui umeelewa.
Ndivo ilivo kenya au tanzania au rwanda
Watusi ni cushites walioadapt kihutu ambacho baadae ndio kilikuja kuitwa kinyarwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…