Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #21
hapa ni generalIla ndiyo ukweli mtupu, sisi watu weusi ni changamoto kubwa sana yaani.
Tukiongelea wabantu ni specific
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ni generalIla ndiyo ukweli mtupu, sisi watu weusi ni changamoto kubwa sana yaani.
Mkuu hebu angalia Hargeisa kwenye youtubeYaan mkuu hapa mi naww tunapishana
Watu kabila moja
Watu dini moja
Watu nchi moja
washindwe kujenga nchi yao kila dakika mtutu nchi haikaliki hailimiki wala haifanyiki biashara kwa miaka 30 kuna njaa,mauaji, ugaidi uharamia kwene maji hafu useme
wako royal
waaminifu
sijui nn!! mkuu mi napinga watakua wanawaigizia wakiwa nchi za watu.
Huwezi kuleta fujo nchini kwa watu mkuu utatimuliwa mapema
Rejea watutsi walivokimbilia kongo au walivoingia Kanda ya ziwa?? saizi mnaziona rangi zao zote saba
Karibia East Africa 80% ni wabantu.hapa ni general
Tukiongelea wabantu ni specific
East africa ukimaanisha nchi ganKaribia East Africa 80% ni wabantu.
Lakini ndio watu waliobarikiwa kuliko wote Africa na walipewa uzao kama wana wa israel
Bahati nzuri mi nafuatilia sana horn of Africa hata hiyo miji yote.Mkuu hebu angalia Hargeisa kwenye youtube
Huo upande walikataa upumbavu huo wa Al Shabab na kuwauwa wote
Utaona wao mpaka kina mama wanauza dhahabu kama mama ntilie na hakuna wa kusogea kuna amani sana huko
Tatizo liko Mogadishu huko ndio balaa hao wanauwana kila leo na wanajaribu kuwamaliza lakini wapi mpaka wananchi waamua kama wenzao waliojitenga maana hawataki kuwasikia hao wa Mogadishu na wanataka kuwa na nchi yao maana walipewa uhuru na Uingereza ila wengine ni Italy
Mpaka wapate akili kama wenzao
Don't forget youtube 😉
Museven na kagame ni watusilkn Kagame na Museveni ni Wabantu sasa nashindwa kuelewa unachokingea, Ruto sawa siyo ni Mbantu ni nilotic …
Ndio wanataka Nchi gani hao Wabantu?Wabantu wanachukiwa kwa sababu uzao wao umebarikiwa
Nchi zao hazina vita
Nchi zao ndio zenye uchumi mkubwa
Nchi zao zinastawi kulinganisha na jamii nyingine
Uzao wao umetapakaa maeneo yote ya Africa hasa kusini mwa africa.
Unae elewa mbona unaondoka hata point moja hujaongea mkuu!!Huelewi kitu hata kidogo, it seems you just bring street talk in the forum..!!
Nchi zote za SADC n wabantuNdio wanataka Nchi gani hao Wabantu?
Emu zitajeNchi zote za SADC n wabantu
Museven na kagame ni watusi
Watusi ni cushitic walio adapt lugha ya kibantu kuendana na wenyeji
mzee usiniulize mimi hayo maswali!haujui labda unachokiongea lugha yao ilienda wapi? na kwa nini “adapt” kibantu nini kilitokea? kwa nini kimasai, kijaluo au hata kisandawe vipo ?
mzee usiniulize mimi hayo maswali!
Kama vyote hivo huvijui fungua uzi watu watakufundisha lakin usilete Quenstioner hapa!!
Changi mada kama hujui uliza watu watakufundisha
Emu zitaje
Aliyekataa kua kinyarwanda si kibantu nani??nakuuliza kwa sababu unaandika vitu usivyovielewa labda, kinyarwanda ni kibantu kama vile lugha za Uganda za akina Museveni sizijui zote, iko well documented kila mahali, ndio maana nikakuuliza hizo facts zako unazitoa wapi?
Aliyekataa kua kinyarwanda si kibantu nani??
Ndio maana mkuu nikakwambia ukiwa hujui uwe mpole sio kujifanya mjuaji!!sasa unanichanganya, umeandika Ruto, Museveni na Kagame wana conspire dhidi ya Wabantu, nikakuuliza kwa nini Museveni awe dhidi ya Wabantu wakati na yeye ni Mbantu?