ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 757
Billion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika.
Lakini tujiulize Tanzania matumizi ya hii Serikali ukiangalia bajeti inayosomwa Dodoma asilimia kubwa ya Bajeti ni ya kuendesha Serikali na kiasi kidogo ndio kwa ajili ya maendeleo.
Halafu kuna wajinga wanaamini nchi itakuka kupiga hatua za Kimaendeleo kwa kuwa na matumizi makubwa ya kawaida kuliko ya maendeleo.