Hawezi kuwa dicteta Kwa Katiba Yao ilivyo.Wanaanzaga hvyo hvyo, mpe miaka miwili tu ndio mtajua rangi yake vizuri
Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ndo suluhisho.
Ameeen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kuwa dicteta Kwa Katiba Yao ilivyo.Wanaanzaga hvyo hvyo, mpe miaka miwili tu ndio mtajua rangi yake vizuri
Kwa kuongezea tu wapuuzi wote tuhakikishe hawarudi majimboni wala madarakaniHawa ndio viongozi wanaotakiwa kwa wingi ktk nchi zetu za Kiafrica
Natama nchi yetu tuwe na miongozi kama huyu,
Halafu mpumbavu mmoja Asama JPM hakuwa kiongozi bora na mwenye maono makubwa juu ya Tanzania!
Huo upumbavu ndio umetufikisha kwenye maisha yasiyosomeka juu ya kesho yetu, twaishi kutafutia tumbo? Maisha magumu kama tuko kwenye nchi yenye vita? Serikali kwa kutowajibika namna ya kupunguza ukali wa maisha, wao ndio chanzo kikuu cha kuvunjika kwa ndoa na wanaume kukimbia ndoa zao, hawalioni hilo!?
Serikali inashangaa uwingi wa ndoa kuvunjika? Wakati imekuwa ni taabu wanaume kuhili ugumu wa maisha?
Mlaaniwe wote wafoji vyeti na wauza bangi na mafisadi, pumbavu zenu nyinyi, Mungu awape siku nyingi dunuani zenye wasiwasi na mateso uzeeni
Shenzi kabisa!
Daily Nation limetoa summary ya vitu vya kupingwa panga, ww unataka mtoa Mada aeleze nn Tena? Au ndiyo kawaida yenu kuwa wavivu wa kuelewa na kumtafuta sababu zisizo na maana.Unaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Kwenye economics reccurrent expenditure ni kubwa kuliko development expenditure, ni ngumu Sana development expenditure kuwa kubwa kuliko development expenditureBillion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika.
Lakini tujiulize Tanzania matumizi ya hii Serikali ukiangalia bajeti inayosomwa Dodoma asilimia kubwa ya Bajeti ni ya kuendesha Serikali na kiasi kidogo ndio kwa ajili ya maendeleo.
Halafu kuna wajinga wanaamini nchi itakuka kupiga hatua za Kimaendeleo kwa kuwa na matumizi makubwa ya kawaida kuliko ya maendeleo.View attachment 2373452
Anachofanya ruto ndo itakua kama Yale Yale ya magufuli wafanyakazi hawataongezewa mishahara na watu watakua na Hali ngumu sanaWanaanzaga hivi, subiri 2 yrs from now, alafu tuone..!!
Kama alivyosema econometrics mambo ya economics ni magumu sanaDaily Nation limetoa summary ya vitu vya kupingwa panga, ww unataka mtoa Mada aeleze nn Tena? Au ndiyo kawaida yenu kuwa wavivu wa kuelewa na kumtafuta sababu zisizo na maana.
Hyo ni danganya toto tu, ngoja aonje utamu wake mwisho atastaafu na kashfa ya uhujumu uchumiBillion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika.
Lakini tujiulize Tanzania matumizi ya hii Serikali ukiangalia bajeti inayosomwa Dodoma asilimia kubwa ya Bajeti ni ya kuendesha Serikali na kiasi kidogo ndio kwa ajili ya maendeleo.
Halafu kuna wajinga wanaamini nchi itakuka kupiga hatua za Kimaendeleo kwa kuwa na matumizi makubwa ya kawaida kuliko ya maendeleo.View attachment 2373452
Anaongelea multiplier effect, mfano unaweza zuia mzunguko was pesa Kwa watu wengi (Velocity + Volume) kwa mfano hamna conference mahotelini, hakuna wateja wa ndege, hakuna disposable income kubwa kwa watumishi hivyo hawatanunua viwanja, magari n.k so hayo makampuni yanayotegemea vipato vya serikali Ina maana itabidi wapunguze wafanyakazi, wasiajiri, wafunge ofisi n.k so inazaa tatizo jingine la mzunguko wa pesa na kukosekana kwa ajira!!Yani uchumi uteteleke kwa kuondoa matumizi ya sio ya lazima selikalini?, fedha hizo si zitaelekezwa kwenye mahitaji au miradi ya maendeleo?
Hapana sio kweli, mbona kasema miradi yenye faida ya muda mrefu au capital intensive izuiwe? So Ina maana hiyo billion 300 pengine ni deficit kwenye recurring expenditure so kuliko kuifund kwa mikopo kaona Bora aing'oe tu kupitia supplementary budget.Wewe jamaa vipi kwani?
Kwani wewe unaelewa nini maana ya "recurrent budget spending cut off..?"
Unadhani hizo pesa zikipunguzwa zinapelekwa wapi? Je, unadhani ni kupunguza matumizi ya kawaida na kisha pesa hizo kutupwa shimoni na kuzikwa huko...??
Ngoja tukufundishe uchumi..
Pesa yote inayopunguzwa toka kwenye matumizi ya kawaida (recurrent expenditures) yote inaenda kwenye maeneo ya uzalishaji au kwa lugha rahisi ni, inahamishiwa kwenye miradi ya maendeleo (developmental projects...!!)
Mpaka hapo unataka usomewe habari yote ipi ndiyo uelewe wakati caption pekee yake inatoa picha yote..?
Walipa kodi ndiyo wanagharamia chama cha siasa (ruzuku) badala ya wenye chama kigharimia chama chao!!Tanzania chini ya CCM ni janga
Yani uchumi uteteleke kwa kuondoa matumizi ya sio ya lazima selikalini?, fedha hizo si zitaelekezwa kwenye mahitaji au miradi ya maendeleo?
Kwahiyo unataka viongozi wanaobana matumizi alafu hawatengenezi mifumo wala taasisi imara?.Alafu wawe wananunua wapinzani ili wasihojiwe ujinga wao.Hawa ndio viongozi wanaotakiwa kwa wingi ktk nchi zetu za Kiafrica
Natama nchi yetu tuwe na miongozi kama huyu,
Halafu mpumbavu mmoja Asama JPM hakuwa kiongozi bora na mwenye maono makubwa juu ya Tanzania!
Huo upumbavu ndio umetufikisha kwenye maisha yasiyosomeka juu ya kesho yetu, twaishi kutafutia tumbo? Maisha magumu kama tuko kwenye nchi yenye vita? Serikali kwa kutowajibika namna ya kupunguza ukali wa maisha, wao ndio chanzo kikuu cha kuvunjika kwa ndoa na wanaume kukimbia ndoa zao, hawalioni hilo!?
Serikali inashangaa uwingi wa ndoa kuvunjika? Wakati imekuwa ni taabu wanaume kuhili ugumu wa maisha?
Mlaaniwe wote wafoji vyeti na wauza bangi na mafisadi, pumbavu zenu nyinyi, Mungu awape siku nyingi dunuani zenye wasiwasi na mateso uzeeni
Shenzi kabisa!
Kabla ya kushusha lawama kwanza jitahidi kulielewa ja.mbo kwa ndani. Watu wengi hawaelewi tofauti kati ya matumizi ya maendeleo na matumizi ya kawaida katika bajeti ya serikali wanaishia kutupa kawama tu kuwa bajeti ya maendeleo ni ndogo na bajeti ya matumizi ya kawaida ni kubwa. Unapojenga shule au hospitali au barabara hiyo ni bajeti ya mqendeleo lakini ukiajiri madaktari, manesi nq wahudumu wengine ili kuoparete hiyo hospitali pesa za mishahara, kununua madawa, kulipia umeme na huduma zingine ili hospitali itoe huduma zinazotarajiwa pesa inayotumika ni bajeti ya kawaida.; vile vile kwa shule na vitu vingine. Kwa ufupi pesa yote ya mishahara, umeme maji makaratasi, kuzoa taka nk ni bajeti ya kawaida. Hivyo ka.mwe bajeti ya maendeleo haiwezi kuwa kubwa kuliko bajeti ya kawaida labda kama unataka uwe na hospitali haina dawa , wahudumu wa afya, umeme nk.Billion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika.
Lakini tujiulize Tanzania matumizi ya hii Serikali ukiangalia bajeti inayosomwa Dodoma asilimia kubwa ya Bajeti ni ya kuendesha Serikali na kiasi kidogo ndio kwa ajili ya maendeleo.
Halafu kuna wajinga wanaamini nchi itakuka kupiga hatua za Kimaendeleo kwa kuwa na matumizi makubwa ya kawaida kuliko ya maendeleo.View attachment 2373452
TANZANIA HAITAPATA MAENDELEO kama FEDHA ZA MATUMIZI NI NYINGI KULIKO ZA MAENDELEOBillion 300 za Kenya ni Tsh 6 trilion hizi ni pesa nyingi sana kuziondoa kwenye matumizi ya kawaida ya Serikali. Lalini point yakr ni kwamba hawawezi endelea kukopa kugharamia matumizi ya kawaida ka Chai, semina kununua V8 kununua maua ya offisisini na kadhalika.
Lakini tujiulize Tanzania matumizi ya hii Serikali ukiangalia bajeti inayosomwa Dodoma asilimia kubwa ya Bajeti ni ya kuendesha Serikali na kiasi kidogo ndio kwa ajili ya maendeleo.
Halafu kuna wajinga wanaamini nchi itakuka kupiga hatua za Kimaendeleo kwa kuwa na matumizi makubwa ya kawaida kuliko ya maendeleo.View attachment 2373452
Mkuu hiyo mifumo imara inajengwa kirahisi?Kwahiyo unataka viongozi wanaobana matumizi alafu hawatengenezi mifumo wala taasisi imara?.Alafu wawe wananunua wapinzani ili wasihojiwe ujinga wao.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Umeona eh! Washauri waweke tozo ndio njia pekee ya kupata maendeleo.Aliyekwambia kupunguza bajeti ndio kuleta maendeleo nani? Hapo ni kujikwamua na mzigo wa Madeni kiufupi ni maumivu hayo wanapata Ili wasianguke.
Mwendakuzimu Jiwe alikuwa anatembea na VXR 90 kwenye Misafara ya KampeniMagufuli part II walahi!