ANAUPIGA MWINGI
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 389
- 757
Yani uchumi uteteleke kwa kuondoa matumizi ya sio ya lazima selikalini?, fedha hizo si zitaelekezwa kwenye mahitaji au miradi ya maendeleo?Unaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Yani uchumi uteteleke kwa kuondoa matumizi ya sio ya lazima selikalini?, fedha hizo si zitaelekezwa kwenye mahitaji au miradi ya maendeleo?
aise !!Unaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Bajeti huwa haitimizwi kwa 100%, unakuta wanatimiza kwa 80% tu. RelaxUnaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Hawa ni wajingaYani uchumi uteteleke kwa kuondoa matumizi ya sio ya lazima selikalini?, fedha hizo si zitaelekezwa kwenye mahitaji au miradi ya maendeleo?
Matumizi ya kawaida kama chai uchumi utetereke? Kuto kununua V8 uchumi uteteleke? WeweUnaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Ni ajabu sana!Huku kuna Adiction za matumizi,
Wewe jamaa vipi kwani?Unaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.