Ruto anataka Ksh 300b(Trilion 6 Tsh) zipunguzwe kwenye bajeti ya Serikali

Na anajiita mchumi[emoji16]
No wonder tunapata mawaziri kama akina mwigulu kwa elimu hizi za kibongo zinazoshindwa kuzalisha watafiti na wabunifu!
Yani inawezekanaje mimi ngumbalu kwenye uchumi niweze kuona dosali na mchumi asiweze kuona!?
 
Umeona eh! Washauri waweke tozo ndio njia pekee ya kupata maendeleo.
Hata sio lazima tozo ila msikariri huo ujinga,ndio umevuruga masoko ya hisa Uingereza baada ya kuleta sera za kukata matumizi Kwa kisingizio Cha kupunguza gharama za maisha.
 
Unaweza Ku cut budget ikapelekea uchumi kutokukuwa.Mambo ya uchumi ni complicated weka story nzima iliyosababisha Ruto kuchukua uamuzi huo sio unaandika kimbea mbea.
Hawa ndo Econometrician sasa sio mtu anabwabwaja tu
 
Mwendakuzimu Jiwe alikuwa anatembea na VXR 90 kwenye Misafara ya Kampeni
Fisadi sana Lile Zee Tapeli
alikutapeli malipo ya huduma gani uliyompa!!!!

maana biashara ya kuuza minducu ilidoda sana enzi zile mliisha maisha magumu.
 
Hata sio lazima tozo ila msikariri huo ujinga,ndio umevuruga masoko ya hisa Uingereza baada ya kuleta sera za kukata matumizi Kwa kisingizio Cha kupunguza gharama za maisha.
Oh! Kumbe zipo njia zengine za kuleta maendeleo tofauti na hizi tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…