Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

Ruto aondoa zuio la mazao ya GMO, aruhusu bidhaa na kilimo cha mahindi yake

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Rais Ruto ameidhinisha uingizaji wa mazao na vyakula vilivyobadilishwa vinasaba (GMO), na hivyo kuondoa zuio la mazao hayo lililowekwa Novemba 8, 2012.

Uamuzi huo umefanywa ikiwa ni njia ya kusaidia kuongeza mavuno wakati ambao nchi inakabiliwa na ukame mbaya zaidi katika miaka 40 na kuacha zaidi ya watu Milioni 4 wakikabiliwa na njaa kali.

Ikiwa ni mipango yake ya kukabiliana na janga la njaa, Ruto amepunguza bei ya Mbolea kwa nusu bei huku akiahidi kufufua sekta ya Kilimo ambayo inachangia 33% ya Pato la Taifa.

===========================

Kenya has authorized the cultivation and importation of genetically modified crops and animal feeds, ending a decade-long ban that had been imposed due to health fears. It comes as the country is experiencing a devastating drought. The worst drought in 40 years has left millions facing hunger.

President William Ruto's government has turned to genetically modified crops as a way of helping boost yields. It says the country needs seeds that are resistant to drought, pests and diseases.

A decade ago, the production and import of GM crops was banned due to concerns over possible health risks. It was clearly an unpopular decision with America, which is home to major producers of genetically engineered seeds.

In July, Joe Biden's administration announced a new partnership with Kenya which included a commitment to boost trade in the agriculture sector. Despite the prospect of better yields some are wary that farmers could become too reliant on rules laid down by foreign, private companies.

BBC
 
Haya wakenya wangoje mbegu na mimea ya GMO ..... wazungu wapenda mambo rahisi kwa kila upande hatakama kuna madhara mbeleni.........ndio Ubepari!!!
 
  • Thanks
Reactions: MCN
Back
Top Bottom