Ruto asema hatasaini Miswada ya Kifisadi iliyopitishwa na Wabunge Ili kujinufaisha, ashangiliwa Magufuli, Magufuli, Magufuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi

Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi

Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa Kifisadi Leo imerejeshwa serikalini kwa Mfumo wa Magufulication

Credit: Citizen TV

RIP Shujaa Magufuli 🌹

Mlale Unono 😀😀😀
 
Siwezi kulala mapema hivi.Bado nashangilia huku nimenyanyua lita ya kihambule juujuu hapa Pembe lwa senga.
 
Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi

Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi

Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa Kifisadi Leo imerejeshwa serikalini kwa Mfumo wa Magufulication

Credit: Citizen TV

RIP Shujaa Magufuli 🌹

Mlale Unono 😀😀😀
Hao waliomshangilia wakitaja Magufuli hawajui wanachoshangilia wamuulize Prof.Assad 😆😆
 
Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi

Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi

Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa Kifisadi Leo imerejeshwa serikalini kwa Mfumo wa Magufulication

Credit: Citizen TV

RIP Shujaa Magufuli 🌹

Mlale Unono 😀😀😀

Joni sijakuelewa unasemea Ruto au Joni wajina wako..

Si ungeelezea vizuri Ruto kafanya nn, although tutapata You Tube, sasa Joni wajina wako wa nini tena?
 
Kwahiyo watu wengine wote wamelishwa propaganda ispokuwa Assad tu? Mkuu hata sasa tunaona yapi ya kweli kwa Samia na yapi ni propaganda ambazo watu kama wewe ndio mmejipa kazi ya kufanya.
Kwani Mimi ni Assad?
 
Back
Top Bottom