Hazina jipya wakati zimejaa ufisadi wa watawala? Trilioni 1.2 zilienda wapi? Ulitaka akubali mtaani mumteke?
Au Kuna mwaka wowote awamu ya Magu ulisikia CAG anasema wizi umeoungua? In fact nampongeza mama Kwa kusitisha ufisadi kwenye hela za Halmashauri zile za kukopesha Vikundi, viongozi wa awamu ya 5 walijinufaisha sana na zile pesa na hakuna wa kuhoji.
Mambo ya sijui Magu alipambama na mafisadi muwe mnawaambia mbumbumbu wenzenu waliokuwa brainwashed na propaganda za Utawala.
Mambo ya kutekana yalishamiri sana awamu 5,,saizi ni muendelezo tuu maana wahusika Bado wapo wa kutosha Serikalini wanataka wamuharibie SSH.Ooooh.... Kumbe huwa mnateka watu wakiwa tofauti na serikali... Mama ana upiga mwingiπ€π€π€π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kilichomwondosha ni KUUWEKA WIZI MKUBWA WA TRILION 1,3*,AMBAZO NAYE KWA UJUAJI MWINGI ALIPIGWA!Assad bwege analia lia kulilia u CAG kama aliazaliwa nao. Ana madeko sana
KideoShujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi
Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi
Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa Kifisadi Leo imerejeshwa serikalini kwa Mfumo wa Magufulication
Credit: Citizen TV
RIP Shujaa Magufuli πΉ
Mlale Unono πππ
Hawa wakenya wanamjua Magufuli vizuri kweli?Shujaa Magufuli japo ametwaliwa yungali anaishi
Mfumo mzima wa aina ya uongozi sasa umechukuliwa na Serikali ya nchi jirani Ili kuwaridhisha Wananchi
Ardhi na Mali ya Umma iliyochukuliwa Kifisadi Leo imerejeshwa serikalini kwa Mfumo wa Magufulication
Credit: Citizen TV
RIP Shujaa Magufuli πΉ
Mlale Unono πππ
Kumbe we ni taahira?Hazina jipya wakati zimejaa ufisadi wa watawala? Trilioni 1.2 zilienda wapi? Ulitaka akubali mtaani mumteke?
Au Kuna mwaka wowote awamu ya Magu ulisikia CAG anasema wizi umeoungua? In fact nampongeza mama Kwa kusitisha ufisadi kwenye hela za Halmashauri zile za kukopesha Vikundi, viongozi wa awamu ya 5 walijinufaisha sana na zile pesa na hakuna wa kuhoji.
Mambo ya sijui Magu alipambama na mafisadi muwe mnawaambia mbumbumbu wenzenu waliokuwa brainwashed na propaganda za Utawala.
Umesikia mikopo ya asilimia 10 ya Vikundi vya Halmashauri vinaendelea?Kumbe we ni taahira?
Mama yupi amesitisha ufisadi?
Mama yako akiona hii coment yako atakucheka sana kwa utaahira
Huyo Samia unayemtetea ameacha ufisadi unatamalaki kila kona.Umesikia mikopo ya asilimia 10 ya Vikundi vya Halmashauri vinaendelea?
Unadhani ukitukana ndio itafuta huo ukweli? ππ
Huyo ana upofu tu wa chuki kwa mwendazake kiasi anamtetea huyu mzanzibari mfanya utumbo.Kumbe we ni taahira?
Mama yupi amesitisha ufisadi?
Mama yako akiona hii coment yako atakucheka sana kwa utaahira
Kwa nini nimtetee? Naongea kilichopo na nachokifahamu.Huyo Samia unayemtetea ameacha ufisadi unatamalaki kila kona.
Usisifie ujinga huyo mama yako hakuna anachokidhibiti nchi ishamshinda.
Hivi wewe unatembea maofisini kuliko sisi??Kwa nini nimtetee? Naongea kilichopo na nachokifahamu.
Huo ufisadi uliotamalaki ni kama upi? Unaona wewe tuu ambae ni hater wa SSH?
Mwisho ni lini ufisadi uliwahi kuisha? Au wewe unaweza niletea ripoti ya CAG awamu ya 5 ilisema ufisadi imeisha? Assad mlimtimua Kwa Ajili ya nini?
Ulisikiiza ziara ya Makonda akiwa Mwenezi? Yale maonezi yote yakifanyika awamu ya ngapi?
Rushwa za makubaliano haijawahi Wala hazitakuja kuisha.Hivi wewe unatembea maofisini kuliko sisi??
Nakupa sehemu tatu tu nenda katembelee kesha rudi uniambie.
Nenda Pugu mnada wa ng'ombe,nenda manispaa wanapounda leseni na nenda TRA yeyote.
Nenda uone watumishi wa umma walivyokua sio waoga tena kwa kula urefu wa kamba zao.
Je huo sio ufisadi!??
Au maana ya ufisadi wewe unaelewa nini??
Hizo sio Ajira ni vibarua
Hiyo mapato kuongezeka ni sekta zipi hizo??Rushwa za makubaliano haijawahi Wala hazitakuja kuisha.
Harafu haijawahi kuwa ni Watumishi wote Bali wachache.
Kwanza wafanyabiashara ndio wanashawishi Maofisa wa Serikali Ili wasikabwe au kulipa tozo kubwa mfano minadani ,TRA na kwingine kokote tuu.
Nikajua unaniambia ni hospital ila kama huko kwenye biashara ni mambo ya kawaida kabisa kama tuu Magu alivyoruhusu traffick kula rushwa barabarani.
Mwisho yote hayo yanafanyika yet Kuna utitiri wa miradi ,Mapato yameongezeka 3 times ,why kipindi hicho hayakuongezeka? Kwa nini Ajira zilikoma kama mlidhibiti rushwa ?
Wewe dawa Yako ni ndogo,leta hapa makusanyo ya TRA mwaka 2020/21 na Mwaka 2023/24 tulinganishe.Hiyo mapato kuongezeka ni sekta zipi hizo??
Kama sio zile alizozifanyia marekebisho mwenyewe Magufuli!??
Hio miradi kuendelea ni kipi kama sio pesa za mikopo!?
Au umeshasahau kuwa Mama yako amekopa pesa sawa na watangulizi wake wote ndani ya miaka mitatu??
Au umesahau deni la taifa ndani ya miaka mitatu limepaa kwa kiasi kikubwa??
Au umesahau shilingi imekua ikishuka kwa kasi!?
Kuna rushwa za makubaliano na kuna mtumishi wa umma kudai rushwa kwa kutengeneza mazingira ya lazima.
Sasa hivi ofisi nyingi za watumishi wa umma wanatengeneza mazingira ya kukudai hela pasi na hela utafanyiwa figisu za huduma hadi ukome.
Pia lete ushahidi wa Magufuli kuruhusu traffic kula rushwa barabarani.
Najua wapi unaenda mbio za sakafuni hizo.Wewe dawa Yako ni ndogo,leta hapa makusanyo ya TRA mwaka 2020/21 na Mwaka 2023/24 tulinganishe.
Pili ,sekta alizorekabisha Magufuli ni sekta zipo hizo? Ziweke hapa
Ni lini Nchi haijawahi kukopa? Baada ya kukopa na pesa kumiminwa kwenye miradi Kuna tatizo?
Kama Maofisa wa Serikali wanatengeneza mazingira ya rushwa ,Huwa unadai hata risiti ya manunuzi? Ukiitwa mbaroni ulipe faini mil.1.5 utailipa au utamhonga Afisa? Achaga blaa blaa.
πππππ Umekimbia Kwa sababu unajua fika kabisa kwamba TRA Sasa imetoka 1.5T/M kuja 2.3T/M ndani ya miaka 3Najua wapi unaenda mbio za sakafuni hizo.
Swali lako la kwanza sina haja ya kulijibu ni kujichosha.
*Moja wapo sekta mnayojivunia kuwaingizia mapato ni sekta ya madini.
Nani kairekebisha kama sio Magufuli!?
*Kwa miradi ipi ya maana hadi ukope pesa zaidi ya watangulizi wako kwa miaka mitatu tu??
EMbu nitajie vital projects ambazo zililazimisha kukopa pesa nyingi ndani ya miaka mitatu.
*Hukufika ukaona embu nenda ka experience kwanza ndio uje uongee.