Ruto asema hatasaini Miswada ya Kifisadi iliyopitishwa na Wabunge Ili kujinufaisha, ashangiliwa Magufuli, Magufuli, Magufuli!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umekimbia Kwa sababu unajua fika kabisa kwamba TRA Sasa imetoka 1.5T/M kuja 2.3T/M ndani ya miaka 3
Kwa maneno ya kisiasa kuwa pato limeongezeka na mkakopa mara dufu?
Kwa hiyo unaweza irwkebisha awamu Yako then baada ya marekebisho yake matunda yasionekane awamu ya 5 ila yaje yaonekane awamu ya 6?
Kwanini hilo lisiwezake?
Mbona umeongea kitoto sana?
Mbona husemi kwamba wawekezaji waliogopa kuweka mitaji awamu ya 5 licha ya hayo marekebisho? Mitaji wameleta baada ya Mama ndio maana unaona Madini inaleta pesa.
Suala la madini kuleta pesa halihusiani na mitaji peke yake.
Sio wawekezaji wakubwa tu ndio waliowekeza,Magufuli aliwainua hadi wachimbaji wadogo wa sekta ya madini.
Hizi zote sio vital projects za kufanya ukope pesa nyingi.
Hiyo miradi ya Magufuli angekua mwenyewe angeiendeleza pasi na mikopo mingi kama mama yako kizimkazi.
 
Sio vital projects? πŸ˜πŸ˜πŸ™„..Magu ange ....kwani hakuwepo Kwa nini hakufanya? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hapo Bado sijagusia Bandari,meli,maji,Kilimo na hata sekta za Utawala na Rasilimali zake.

Magufuli Hadi kuajiri alishindwa anasinbizia Sgr,bwawa na ujinga mwingine.Vyote hivyo Samia amefanya na maelfu ya Ajira Juu.

Mwisho unaujua mradi wa bwawa la Kidunda? Farkwa? Mradi wa Maji Miji 28? Bandari ya Kilwa? Au basi utapasuka Kwa wivuπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DAAU5d_oXY9/?igsh=YWprMnNjamo1Nmpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…