Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya

Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote

Source: Citizen tv

Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
Lakini Wewe huyo huyo tungesema siasa za Kenya zinawaelewa wengi tofauti na za Bongo ungetoa mapovu!
Screenshot_20241012-214119.png
 
Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya

Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote

Source: Citizen tv

Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
Nasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", period Na ndiyo dini ya ukweli ya Ukristu ambayo ilianzishwa na Mtume Petro alipokabidhiwa kondoo awachunge na Bwana Yesu Kristu (Mathayo 16:18)
 
Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya

Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote

Source: Citizen tv

Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
Kwani hapa mshirika wa serikali mkuu katika taasisi za dini ni nani? ROMAN CATHOLIC.
Vigezo:
1. Idadi ya shule..education structures/Institutions
2. Hospitals ie health-related services to the mass
3. Idadiya workforce in every field of public services
4. High level of learning among all priests and related staff in various science-related learning compared to other colleagues (if devine learning is excluded)
5. The centralised administrative system/mechanism centred in Vatica with a Final say in the administration of The catholic Doctrine. Hakuna kugombea nani awe Askofu/Padre!
” Roma locuta; causa finita est" Rome has spoken; the cause is finished” ........
 
Waisilamu Tanzania ndiyo walioleta uhuru Tanganyika bila wao uhuru ungechelewa. BAKWATA (BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA ) ni taasisi iliyoundwa na serikali hivyo ni mdau mkubwa kwa amani na utulivu wa nchi.
 
Back
Top Bottom