Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

Waisilamu Tanzania ndiyo walioleta uhuru Tanganyika bila wao uhuru ungechelewa. BAKWATA (BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA ) ni taasisi iliyoundwa na serikali hivyo ni mdau mkubwa kwa amani na utulivu wa nchi.
Uhuru upi? 🐼
 
Ruto ni religious fanatic kitambo sana! Anasahau miongoni waungaji mkono wake wakuu ni Jamii ya kisomali Wakina Duale!

Wakatoliki Kenya ni minority tu!

images (1).jpeg
 
Kenya waislamu wengi ni wasomali, ambao wanaonekana ni kama wazamiaji tu na wakimbizi.

Majimbo maarufu kaunti ya nchini Kenya yaliyopo kaskazini yana waKenya wengi wenye asili ya kiSomali. Hivyo wakaazi wa kaunti hizo siyo wazamiaji au wakimbizi bali ni raia wa Kenya na wanashiriki kikamilifu katika shughuli za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi, kiusalama na kijamii za nchini mwao yaani Jamhuri ya Kenya .
 
Back
Top Bottom