johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lakini Wewe huyo huyo tungesema siasa za Kenya zinawaelewa wengi tofauti na za Bongo ungetoa mapovu!Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya
Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote
Source: Citizen tv
Ingekuwa Bongo sasa πΌπ
Kwaya ya Mtakatifu Kizito ilialikwa rasmi πππΉKenya is purely CHRISTIAN COUNTRY sku ya kumtangaza rais hakuna qaswida wala dua ilikuwa n nyimbo za injili tu ..na hakuna aliyesema fyokofyoko...
TEC ndio mshirika Mkuu? πΌHata kwetu mbona ni hivyo hivyo tu
Nasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", period Na ndiyo dini ya ukweli ya Ukristu ambayo ilianzishwa na Mtume Petro alipokabidhiwa kondoo awachunge na Bwana Yesu Kristu (Mathayo 16:18)Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya
Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote
Source: Citizen tv
Ingekuwa Bongo sasa πΌπ
πππNasadiki kwa Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume", period Na ndiyo dini ya ukweli ya Ukristu ambayo ilianzishwa na Mtume Petro alipokabidhiwa kondoo awachunge na Bwana Yesu Kristu (Mathayo 16:18)
Kwani hapa mshirika wa serikali mkuu katika taasisi za dini ni nani? ROMAN CATHOLIC.Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya
Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote
Source: Citizen tv
Ingekuwa Bongo sasa πΌπ