Waisilamu Tanzania ndiyo walioleta uhuru Tanganyika bila wao uhuru ungechelewa. BAKWATA (BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA ) ni taasisi iliyoundwa na serikali hivyo ni mdau mkubwa kwa amani na utulivu wa nchi.
Majimbo maarufu kaunti ya nchini Kenya yaliyopo kaskazini yana waKenya wengi wenye asili ya kiSomali. Hivyo wakaazi wa kaunti hizo siyo wazamiaji au wakimbizi bali ni raia wa Kenya na wanashiriki kikamilifu katika shughuli za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi, kiusalama na kijamii za nchini mwao yaani Jamhuri ya Kenya .