johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mie nilidhani ni Tanganyika tuDr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba Majaji huamua kwa Rushwa na kupigiwa Simu Moja tu
Ruto amemtaka Katibu mkuu wa Ujenzi kuendelea na Ujenzi wa barabara pamoja na Uwepo wa Zuio la mahakama, Ruto amesema Wananchi ndio mahakama ya Haki
Source: Citizen TV
Safi kabisa....tabia ya kuchekeana ni very irritating..Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba Majaji huamua kwa Rushwa na kupigiwa Simu Moja tu
Ruto amemtaka Katibu mkuu wa Ujenzi kuendelea na Ujenzi wa barabara pamoja na Uwepo wa Zuio la mahakama, Ruto amesema Wananchi ndio mahakama ya Haki
Source: Citizen TV
Tanganyika kuna majaji wa michongo,mahakama za michongo na hukumu za michongo.
Asijidanganye, anaweza akawajibishwa kisheria na inaweza ikamgharimu yeye mwenyewe binafsi pamoja na Urais wake. Katiba ya Kenya ni nzuri, hairuhusu huo Udikteta wake anaotaka kuufanya.Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba Majaji huamua kwa Rushwa na kupigiwa Simu Moja tu
Ruto amemtaka Katibu mkuu wa Ujenzi kuendelea na Ujenzi wa barabara pamoja na Uwepo wa Zuio la mahakama, Ruto amesema Wananchi ndio mahakama ya Haki
Source: Citizen TV
Sahihi KabisaSasa hapo anaonyesha mfano mbaya kwa Taifa lake.maana kushindwa kuheshimu na kuamini mahakama za nchini mwake anatoa mwanya kwa watu wengi zaidi na maafisa wengi zaidi wa serikali yake na matajiri wengi na wenye pesa zao kufanya maamuzi bila hofu wala uoga kwa kutambua kuwa hata hukumu ikitoka basi hawataiheshimu .
Lakini pia hakuna muwekezaji anayeweza kupenda kuwekeza mahali ambapo mihimili kama mahakama haiheshimiwa.kauli hiyo maana yake inawakimbiza wawekezaji na kuwakosesha imani kwa mifumo ya ndani.hapo maana yake anataka yeye ndiye kuwa mahakama mwenyewe na muamuzi mwenyewe.
Pia kauli hiyo inaweza kuchochea Vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na kujichukulia sheria mkononi kwa wananchi kwa kutambua kuwa maamuzi ya mahakama hayaheshimiwa na yanaweza kupuuzwa na kutupiliwa mbali na hivyo dawa ni kumalizana tu.
Kama anaona wananchi ndio watoa haki basi asimamishe mfumo wa mahakama ili kesi zote na mashitaka yote yawe yanapelekwa kwa wananchi wasio juwa hata vifungu vya sheria.lakini pia kauli hiyo ni shambulizi dhidi ya mahakama na mifumo yote ya utoaji haki.
Mahakimu wa Tanganyika ndio wenye njaa kali kuliko wa Kenya. Rostam Aziz yupp sasa.Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba Majaji huamua kwa Rushwa na kupigiwa Simu Moja tu
Ruto amemtaka Katibu mkuu wa Ujenzi kuendelea na Ujenzi wa barabara pamoja na Uwepo wa Zuio la mahakama, Ruto amesema Wananchi ndio mahakama ya Haki
Source: Citizen TV
Ngoja tuoneAsijidanganye, anaweza akawajibishwa kisheria na inaweza ikamgharimu yeye mwenyewe binafsi pamoja na Urais wake. Katiba ya Kenya ni nzuri, hairuhusu huo Udikteta wake anaotaka kuufanya.
Hivi Comment hii kweli imeandikwa na Lucas Mwashamba ninayemfahamu au simu yake leo amemuachia mtu mwingine??????????!!!!!!!!!!!!!???Sasa hapo anaonyesha mfano mbaya kwa Taifa lake.maana kushindwa kuheshimu na kuamini mahakama za nchini mwake anatoa mwanya kwa watu wengi zaidi na maafisa wengi zaidi wa serikali yake na matajiri wengi na wenye pesa zao kufanya maamuzi bila hofu wala uoga kwa kutambua kuwa hata hukumu ikitoka basi hawataiheshimu .
Lakini pia hakuna muwekezaji anayeweza kupenda kuwekeza mahali ambapo mihimili kama mahakama haiheshimiwa.kauli hiyo maana yake inawakimbiza wawekezaji na kuwakosesha imani kwa mifumo ya ndani.hapo maana yake anataka yeye ndiye kuwa mahakama mwenyewe na muamuzi mwenyewe.
Pia kauli hiyo inaweza kuchochea Vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na kujichukulia sheria mkononi kwa wananchi kwa kutambua kuwa maamuzi ya mahakama hayaheshimiwa na yanaweza kupuuzwa na kutupiliwa mbali na hivyo dawa ni kumalizana tu.
Kama anaona wananchi ndio watoa haki basi asimamishe mfumo wa mahakama ili kesi zote na mashitaka yote yawe yanapelekwa kwa wananchi wasio juwa hata vifungu vya sheria.lakini pia kauli hiyo ni shambulizi dhidi ya mahakama na mifumo yote ya utoaji haki.
We fukara unaongea nini?...Sasa hapo anaonyesha mfano mbaya kwa Taifa lake.maana kushindwa kuheshimu na kuamini mahakama za nchini mwake anatoa mwanya kwa watu wengi zaidi na maafisa wengi zaidi wa serikali yake na matajiri wengi na wenye pesa zao kufanya maamuzi bila hofu wala uoga kwa kutambua kuwa hata hukumu ikitoka basi hawataiheshimu .
Lakini pia hakuna muwekezaji anayeweza kupenda kuwekeza mahali ambapo mihimili kama mahakama haiheshimiwa.kauli hiyo maana yake inawakimbiza wawekezaji na kuwakosesha imani kwa mifumo ya ndani.hapo maana yake anataka yeye ndiye kuwa mahakama mwenyewe na muamuzi mwenyewe.
Pia kauli hiyo inaweza kuchochea Vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu na kujichukulia sheria mkononi kwa wananchi kwa kutambua kuwa maamuzi ya mahakama hayaheshimiwa na yanaweza kupuuzwa na kutupiliwa mbali na hivyo dawa ni kumalizana tu.
Kama anaona wananchi ndio watoa haki basi asimamishe mfumo wa mahakama ili kesi zote na mashitaka yote yawe yanapelekwa kwa wananchi wasio juwa hata vifungu vya sheria.lakini pia kauli hiyo ni shambulizi dhidi ya mahakama na mifumo yote ya utoaji haki.
2024Hivi Comment hii kweli imeandikwa na Lucas Mwashamba ninayemfahamu au simu yake leo amemuachia mtu mwingine??????????!!!!!!!!!!!!!???
Mahakama hiyo hiyo ndio ilipelekea yeye kua rais maana Ni kweli Ruto aliiba kura. Anyway sitamshangaa màana hata rais wa Undengestan aliye wekwa kwenye kiti Cha urais na katiba baadaye aliiponda katiba hiyo hiyo akisema katiba Ni kijitabu tu.Dr Ruto amewaambia live Majaji kwamba wao ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa
Rais Ruto ni kama amerudia kauli ya Mwanasiasa Maarufu nchini na Africa Mashariki Rostam Aziz kwamba Majaji huamua kwa Rushwa na kupigiwa Simu Moja tu
Ruto amemtaka Katibu mkuu wa Ujenzi kuendelea na Ujenzi wa barabara pamoja na Uwepo wa Zuio la mahakama, Ruto amesema Wananchi ndio mahakama ya Haki
Source: Citizen TV
Sio kwa Kenya!! Kamwe hawezi kuwa juu ya mahakama, wale sio misukule, kama hapa.Safi kabisa....tabia ya kuchekeana ni very irritating..
We miss you JPM.
Pumzika kwa amani mwamba.