Ruto asema Majaji ni Wala Rushwa wakubwa na wanaendeshwa na Wanasiasa, asema Wananchi waamue atupa kule Hukumu ya mahakama!

Safi kabisa....tabia ya kuchekeana ni very irritating..
We miss you JPM.
Pumzika kwa amani mwamba.
Apumzike ili iweje wakati yeye ndio alikuwa kinatra wa kuingilia mihimili mingine? Wanasiasa wangapi wa upinzani walifungwa jela kwa amri zake?Hopele kabisa.
 
Ila hiyo mahakama ilipompa ushindi wa urais haikuwa shida. Mnafiki huyo.
Huyu ananikumbusha chama fulani cha siasa. Mahakama ikiamua ni favor ya kesi zao haki imetendeka isipokuwa hivyo mahakama sio huru.Wakishinda uchaguzi husikii kelele za tume ya uchaguzi wakishindwa tume sio huru.
 
Hiyo nayo ni siasa pia
 
Hivi Comment hii kweli imeandikwa na Lucas Mwashamba ninayemfahamu au simu yake leo amemuachia mtu mwingine??????????!!!!!!!!!!!!!???
Kwa hiyo imeandikwa na nani? Shida yako wewe unashindwaga kunielewa kutokana na kujenga mtizamo hasi juu yangu na hivyo kujipa ukipofu kwa chochote nitakacho kiandika humu unaona kibaya na hakifai na ni uchawa tu.
 
Safi kabisa....tabia ya kuchekeana ni very irritating..
We miss you JPM.
Pumzika kwa amani mwamba.
Jizi na muuaji katili, liendelee kuteseka kwa damu zisizo na hatia lilizomwaga
 
Hakumu wa Mahakama ya Mwanzo
 
Asijidanganye, anaweza akawajibishwa kisheria na inaweza ikamgharimu yeye mwenyewe binafsi pamoja na Urais wake. Katiba ya Kenya ni nzuri, hairuhusu huo Udikteta wake anaotaka kuufanya.
Hivi Nyumba moja inakuwaje na ma baba wawili!? Baba mmoja akitoa amri hii kwa watoto, hapo hapo baba mwingine tena anakuja kutengeua amri ya baba wa kwanza, sasa hiyo nyumba mwisho wa siku lazima itakosa msimamo thabiti! Amiri Jeshi Mkuu apewe heshima zake kama Mkuu wa Nchi na siyo kuingiliwa kwenye maamuzi yake!!
 
Nchi ya Kenya kwa Katiba yake ile siyo "Banana Republic" kama ilivyo kwa nchi ya Tanzania. Kwa Kenya, Rais siyo 'Mungu' kama ilivyo kwa Tz.
Kama wewe kwenye nchi yako umezoea kuishi kiholela na hovyo hovyo bila utaratibu, usifikiri kwamba na watu wengine wote wanaishi hivyo ktk nchi zao, hapana. Katiba ya nchi, Sheria, Kanuni na taratibu ni lazima zufuatwe, Kenya haiendeshwi kwa Amri Haramu za Rais wa nchi kama ilivyo kwa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…