Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria.

Soma: Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

Rais Ruto, akiomba mahakama itupilie mbali kesi hiyo, amesema kuwa mashauri ya kiraia hayawezi kuanzishwa katika mahakama yoyote dhidi ya Rais au mtu anayetekeleza majukumu ya ofisi ya Rais wakati wa utawala wao, kuhusiana na jambo lolote lililofanywa au kutokufanywa chini ya Katiba ya Kenya ya mwaka 2010

Ikumbukwe kuwa Oktoba 18, 2024 Mahakama Kuu ilisitisha uamuzi wa Seneti wa kuidhinisha hoja ya kumvua madaraka Gachagua baada ya Mawakili wa Gachagua kuwasilisha ombi la kuzuia Rais #WilliamRuto kuteua Mtu atakayejaza nafasi yake

==============For English Audience==================

President William Ruto has filed a preliminary objection in a petition against the impeachment of Rigathi Gachagua.
Through lawyer Adrian Kamotho, Ruto says that the court lacks jurisdiction to hear and determine the petition, arguing it is abuse of court process.

"The Petition herein has been filed in this Honourable Court in clear disregard of the law, is an abuse of the due process of court, hence cannot be countenanced and/or determined by this Honorable Court," reads court documents.

The president has been named as the fifth respondent in the case whereas the impeached deputy president is named as an interested party.

President Ruto while asking the court to dismiss the case says the that civil proceedings cannot be instituted in any court against the President or the person performing the functions of the office of the President during their tenure of office in respect of anything done or not done under the Constitution of Kenya 2010.
Petitioners David Mathenge, Peter Kamotho, Grace Mwangi, Clement Muriuki and Edwin Kariuki moved to court to block DP-nominee Kithure Kindiki from assuming office.

They faulted the Senate impeachment process, questioning the the legality of the whole procedure. The petitioners thus requested the court to stop Kindiki's planned swearing-in until the matter was addressed by the court.

SOURCE: CITIZEN DIGITAL
 
Back
Top Bottom