Wakiwa kwenye kampeni wanawaza starehe na kuiba tu. Wanawadanganya wapiga kura eti wataleta pepo duniani-Kama Deni la Nchi limefikia 70% ya GDP ya nchi yake
-Nchi imefika Ukomo wa kukopa kulingana na viwango vilivyowekwa na vyombo vya uchumi( IFM) yani Deni limeexceed 50% ya GDP
-Njia ya Dharura ni Kuifinance GVT TAXATION
-Jarbu kuvaa viatu vya RUTO Kama mkuu wa Nchi
Ungefanyaje.
Angalizo kwa lissu asithubuti wapa ahadi hewa vijana na atamani kile kiti kwa Nia ya kuwatumikia watu siyo kuiba kamaruto
Ccm wamefika mwisho, watajifanya waungwana wamwachie mpinzani jumba bovu kama ruto. umakini unatakiwa