Ruto kaachiwa jumba bovu

Wakiwa kwenye kampeni wanawaza starehe na kuiba tu. Wanawadanganya wapiga kura eti wataleta pepo duniani

Angalizo kwa lissu asithubuti wapa ahadi hewa vijana na atamani kile kiti kwa Nia ya kuwatumikia watu siyo kuiba kamaruto

Ccm wamefika mwisho, watajifanya waungwana wamwachie mpinzani jumba bovu kama ruto. umakini unatakiwa
 
Kenyatta muhuni sana
Kenyatta mshenzi sana. Eti amesema I stand with you" akiwaambia waandamanaji. How can president stand with looters. Halafu hapohapo anasema pande mbili zikutane ziongee? Which pande? Yaani huyu jamaa aliona kwao hakuna tena mtu wa siasa na kuwa raisi ameharibu halafu akataka msala uje umuangukie Mjaluo Raila bahati nzuri Mungu siyo Mzee Juma uraisi kapata mwingine anampa tabu Ruto wa watu
 
I stand with you mkuu

Yale ma mikopo aliyokuwa kila siku siku anakopa tulijua ni swala la muda tu ajaye shughuli anayo

Kenyatta kawauza wakenya pakubwa sana

Hata huku kwetu hii mikopo yetu tunayokopa ipo siku ajaye ataona
 
Kwani sisi la kwetu halijafika hapo mkuu?
 
Uhuru Kenyatta is very happy on what is going on in Kenya 🐒

aliwahi kusema na kusisitiza mara kadhaa kwamba Rais wake ni Raila Odinga na si vinginevyo.

Lakini kumbuka pia vijana hawa hawa, ikasemekana wanapewa nguvu na wakiwa nyuma ya naibu wa Rais wa sasa ndugu RigG, walichochewa kuvamia shamba la Uhuru Kenyatta, kuharibu mazao, kuiba na kupora mali mbalimbali kama vile kondoo, mbuzi, bata, kuku n.k mali ya familia ya Uhuru kwahivyo kinachotokea ni kama vile anafurahi,

na angependelea mambo yaende zaidi yalivyo, ilikusudi mali na biashara za Ruto nazo zifikiwe, ziporwe na kuharibiwa zaidi kama vijana walivyofanya kwake 🐒
 

Uongozi ni jalala la lawama
 
Huwezi ongoza nchi kwa aman ikiwa rais mstaafu hauelewani nae hata yule bwana yalimkuta hayohayo kule cuba kujifanya kukaza fuvu

Lakini ruto mchezo anauelewa ngoja tuone japo ana kibarua kizito maana kwa sasa hata naibu wake anaucheki mchezo kwa mbali hatii neno
 
Wakati anagombea urais alijua maana alikuwa makamu wa rais. Kwa hiyo apambane na hali yake.

Vv
 
Atapewa financial support na bro ake Mr. Biden (kama wana US watamruhusu aongoze tena).
Atakamua Wakenya mpaka 'watoe damu'. Mr. Hichilema amewafanyia Zambians hivyo.
Atauza rasilimali zilizobaki kwa wakubwa kama wafanyavyo viongozi wengi wa Afrika.
Sitarajii kama atajipuzia matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…