johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni ujinga wa hali ya juu sn, kiongozi apatikane kwa uwezo wakeNi aibu kuchagua kiongozi kwa sababu ya dini yake.
Huko unakoita kubalansi ndio Udini wenyewe. Kiongozi akipatikana kwa misingi ya Udini na ukabila hiyo ni laana kwa taifa. Mtaniambia.
Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Uislamu Kenya ni minority au insignificant sana. Hata wasipo balance hakuna impact yeyote. Kura za Waislamu Kenya hazina madhara kwenye nafasi ya kitaifa labda kwenye level za Ugavana/ UsenetaNi baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Huyo ni first lady mstaafu 😂Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,
lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya 🐒
Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya 🐒
Waislam ndio wameshika nafasi nyeti za utendajiUislamu Kenya ni minority au insignificant sana. Hata wasipo balance hakuna impact yeyote. Kura za Waislamu Kenya hazina madhara kwenye nafasi ya kitaifa labda kwenye level za Ugavana/ Useneta
hayo sasa ni kibinafsi ..Huyo ni first lady mstaafu 😂
Wameshika kwa uwezo wao (CV) na siyo ku balance diniWaislam ndio wameshika nafasi nyeti za utendaji
Kubalance dini kwa Kenya? Au unadani Kenya Wakristo na Waisilamu na ratio hii iliyoko hapa? Unataka kupeleka siasa za Tanzania huko Kenya?Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Unadhani Ruto hakufanya kosa binafsi la kumchagua Gachagua wakati ule awe Mgombea mwenza? 🐼hayo sasa ni kibinafsi 🐒
Hilo swali watakujibu wenyewe 😄Kubalance dini kwa Kenya? Au unadani Kenya Wakristo na Waisilamu na ratio hii iliyoko hapa? Unataka kupeleka siasa za Tanzania huko Kenya?
HayaWameshika kwa uwezo wao (CV) na siyo ku balance dini
aliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,Unadhani Ruto hakufanya kosa binafsi la kumchagua Gachagua wakati ule awe Mgombea mwenza? 🐼
Si hata hapa kwetu wanafanyaga hivo mkuuNi aibu kuchagua kiongozi kwa sababu ya dini yake.
Huko unakoita kubalansi ndio Udini wenyewe. Kiongozi akipatikana kwa misingi ya Udini na ukabila hiyo ni laana kwa taifa. Mtaniambia.