Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
 
Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,

lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya 🐒

Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya 🐒
 
Uislamu Kenya ni minority au insignificant sana. Hata wasipo balance hakuna impact yeyote. Kura za Waislamu Kenya hazina madhara kwenye nafasi ya kitaifa labda kwenye level za Ugavana/ Useneta
 
Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,

lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya 🐒

Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya 🐒
Huyo ni first lady mstaafu 😂
 
Huyo ni first lady mstaafu 😂
hayo sasa ni kibinafsi ..

lakini huyo mumama Anne Waiguru, atapewa jukumu maalumu la kushughulikia mambo ya wanawake kiuchumi, kijamii na kisiasa , huku akihakikisha kura zote za wanawake zinaenda kwa Ruto 2027, huku na yeye akiahidiwa kuachiwa hicho kiti cha urais 2032🐒
 
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Kubalance dini kwa Kenya? Au unadani Kenya Wakristo na Waisilamu na ratio hii iliyoko hapa? Unataka kupeleka siasa za Tanzania huko Kenya?
 
Walokole ndio dini gani? Muwe mnabainisha madhehebu tu inatosha. Mmezoea kutaja wakatoliki na waprotestanti, inatosha kusema wapentekoste kama mnamaanisha walokole
 
Unadhani Ruto hakufanya kosa binafsi la kumchagua Gachagua wakati ule awe Mgombea mwenza? 🐼
aliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,

Deputy president unawezaje kusema William Ruto ni one term President, tena kwa kujipiga kifua kabisa?🤣

Na kwasababu hiyo Dr.Wiliam Ruto nae akona kama ni hivyo basi si bora nae amfanye Gachagua half term deputy president ili waende sawa?🤣
 
Profesa Kithure Kindiki ndio anapewa nafasi kubwa ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Kenya.
Ruto sio naive kuwatenga watu wa Mlima ambao walimsaidia sana kushinda Urais.
 
Ni aibu kuchagua kiongozi kwa sababu ya dini yake.

Huko unakoita kubalansi ndio Udini wenyewe. Kiongozi akipatikana kwa misingi ya Udini na ukabila hiyo ni laana kwa taifa. Mtaniambia.
Si hata hapa kwetu wanafanyaga hivo mkuu
 
Back
Top Bottom