Mangi...kuna uhusiano gani Kati ya kuwa Mangi na kuwa CDM na kuwa mdini mdini na chuki za kidini dini?Kumpata muislamu Kenya ni ngumu sn, ndiyo maana mpk leo hajawahi kutokea Rais muislam kwao
Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Kama unafuatilia siasa za Kenya Gachachagua hakuwa chaguo la Ruto kabisaaliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,
Deputy president unawezaje kusema William Ruto ni one term President, tena kwa kujipiga kifua kabisa?π€£
Na kwasababu hiyo Dr.Wiliam Ruto nae akona kama ni hivyo basi si bora nae amfanye Gachagua half term deputy president π€£
Unaelewa maana ya tetesi πjohnthebaptist Prof Kindiki ni Muislamu? View attachment 3128469
Huyu ndio ilikua chaguo la Ruto muda mrefu na sijui gachagua aliingiaje , na zaidi ukiwa msaidizi unatakiwa kufanya kazi kama msaidizi Kenya ilifikia kama ina Marais wawili na mbaya zaidi gachagua Akajiona Yuko juu na kumpinga boss wake hadharani, sasa karudi nyumbani na ulishakua impeached hauruhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa Kenya , zaidi alitakiwa ajiuzulu mapema Sanajohnthebaptist Prof Kindiki ni Muislamu? View attachment 3128469
Kwanini?? Mbona Mombasa wapoKumpata muislamu Kenya ni ngumu sn, ndiyo maana mpk leo hajawahi kutokea Rais muislam kwao
Hiyo nakubali kabisa, Gachagua alichaguliwa naibu rais kimkakati na hasa kumdhibiti Uhuru Kenyata na Raila Mount Kenya...Kama unafuatilia siasa za Kenya Gachachagua hakuwa chaguo la Ruto kabisa
Ruto alimtaka Prof Kindiki ila hesabu za kura zikawa haziwapi Ushindi ndipo akalazimika kumchukua Gachagua
πππ
Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongoNi baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Gachagua alikuwa na Wapiga Kura wengi Mlimani kuliko Prof KindikiHuyu ndio ilikua chaguo la Ruto muda mrefu na sijui gachagua aliingiaje , na zaidi ukiwa msaidizi unatakiwa kufanya kazi kama msaidizi Kenya ilifikia kama ina Marais wawili na mbaya zaidi gachagua Akajiona Yuko juu na kumpinga boss wake hadharani, sasa karudi nyumbani na ulishakua impeached hauruhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa Kenya , zaidi alitakiwa ajiuzulu mapema Sana
Shule ya kata uliyosoma,umeme uliopo kijjjini kwenu,mkopo uliopewa (kama ulisoma chuo)chuoni ni nani aliyewezesha?Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.
Akili za CDM hizi.....Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongo
JK 2010: Urais wangu hauna UbiaHiyo nakubali kabisa, Gachagua alichaguliwa naibu rais kimkakati na hasa kumdhibiti Uhuru Kenyata na Raila Mount Kenya...
But,
Kosa la Gachagua ni kutamka kuwa William Ruto ni one term President.
Sasa mtu kama huyo unawezaje kuendelea nae kufanya kazi, si atakua anakuhujumu tu?
ndiyo maana hata siku Ruto anatoa hotuba ikulu ya Nairobi wakati wa maandamano ya Gen z,
ile anamaliza tu, Rigadhi Gachagua nae analihutubia Taifa akiwa hotelini kwake Mombasa akiwa na begi kubwa sana liliojaa pesa mingi sana π€£
katika hali hiyo sasa Ruto akathibitisha Taarifa za usalama wa taifa kwamba ni kweli huyu muungwana ananipangia one term ngoja nimuwahi na half term π
CDM ni kitu gani ?Akili za CDM hizi.....
Katiba inasema wanafuata ukristo...labda kama waliifanyia marekebisho. Hata hivyo, hiyo haizuii viongozi wao wakristo kushika madaraka ya Nchi!Kumpata muislamu Kenya ni ngumu sn, ndiyo maana mpk leo hajawahi kutokea Rais muislam kwao