Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

johnthebaptist Prof Kindiki ni Muislamu?
IMG-20241018-WA0021.jpg
 
Tanzania imejijengea utamaduni wa kubalansi dini, ukanda na ukabila toka enzi za mwalimu, kila dini na ukanda una viongozi wa juu wa serikali na hakuna ukabila wala udini tanzania. Yeyote anayeendekeza udini na ukabila tanzania atazodolewa mpaka akome. Siasa za tanzania hazikubali ushenzi huo wa ukabila, udini na ukanda, aje mkristo, muislam au asiye na dini poa tu maadamu anaongoza nchi kwa mujibu wa katiba.
 
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.
 
aliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,

Deputy president unawezaje kusema William Ruto ni one term President, tena kwa kujipiga kifua kabisa?🤣

Na kwasababu hiyo Dr.Wiliam Ruto nae akona kama ni hivyo basi si bora nae amfanye Gachagua half term deputy president 🤣
Kama unafuatilia siasa za Kenya Gachachagua hakuwa chaguo la Ruto kabisa

Ruto alimtaka Prof Kindiki ila hesabu za kura zikawa haziwapi Ushindi ndipo akalazimika kumchukua Gachagua

😂😂😂
 
Huyu ndio ilikua chaguo la Ruto muda mrefu na sijui gachagua aliingiaje , na zaidi ukiwa msaidizi unatakiwa kufanya kazi kama msaidizi Kenya ilifikia kama ina Marais wawili na mbaya zaidi gachagua Akajiona Yuko juu na kumpinga boss wake hadharani, sasa karudi nyumbani na ulishakua impeached hauruhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa Kenya , zaidi alitakiwa ajiuzulu mapema Sana
 
Hiyo nakubali kabisa, Gachagua alichaguliwa naibu rais kimkakati na hasa kumdhibiti Uhuru Kenyata na Raila Mount Kenya...

But,
Kosa la Gachagua ni kutamka kuwa William Ruto ni one term President.
Sasa mtu kama huyo unawezaje kuendelea nae kufanya kazi, si atakua anakuhujumu tu?

ndiyo maana hata siku Ruto anatoa hotuba ikulu ya Nairobi wakati wa maandamano ya Gen z,

ile anamaliza tu, Rigadhi Gachagua nae analihutubia Taifa akiwa hotelini kwake Mombasa akiwa na begi kubwa sana liliojaa pesa mingi sana 🤣

katika hali hiyo sasa Ruto akathibitisha Taarifa za usalama wa taifa kwamba ni kweli huyu muungwana ananipangia one term ngoja nimuwahi na half term 🐒
 
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongo
 
Huyu ndio ilikua chaguo la Ruto muda mrefu na sijui gachagua aliingiaje , na zaidi ukiwa msaidizi unatakiwa kufanya kazi kama msaidizi Kenya ilifikia kama ina Marais wawili na mbaya zaidi gachagua Akajiona Yuko juu na kumpinga boss wake hadharani, sasa karudi nyumbani na ulishakua impeached hauruhusiwi kugombea nafasi yoyote ya kisiasa kwa Kenya , zaidi alitakiwa ajiuzulu mapema Sana
Gachagua alikuwa na Wapiga Kura wengi Mlimani kuliko Prof Kindiki

Unajua Ruto alimzidi Raila Kwa kura chache sana
 
Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.
Shule ya kata uliyosoma,umeme uliopo kijjjini kwenu,mkopo uliopewa (kama ulisoma chuo)chuoni ni nani aliyewezesha?
 
Hiyo nakubali kabisa, Gachagua alichaguliwa naibu rais kimkakati na hasa kumdhibiti Uhuru Kenyata na Raila Mount Kenya...

But,
Kosa la Gachagua ni kutamka kuwa William Ruto ni one term President.
Sasa mtu kama huyo unawezaje kuendelea nae kufanya kazi, si atakua anakuhujumu tu?

ndiyo maana hata siku Ruto anatoa hotuba ikulu ya Nairobi wakati wa maandamano ya Gen z,

ile anamaliza tu, Rigadhi Gachagua nae analihutubia Taifa akiwa hotelini kwake Mombasa akiwa na begi kubwa sana liliojaa pesa mingi sana 🤣

katika hali hiyo sasa Ruto akathibitisha Taarifa za usalama wa taifa kwamba ni kweli huyu muungwana ananipangia one term ngoja nimuwahi na half term 🐒
JK 2010: Urais wangu hauna Ubia

Muwage mnafuatilia Siasa 😂😂
 
Back
Top Bottom