Aahaaaaaliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,
Deputy president unawezaje kusema William Ruto ni one term President, tena kwa kujipiga kifua kabisa?🤣
Na kwasababu hiyo Dr.Wiliam Ruto nae akona kama ni hivyo basi si bora nae amfanye Gachagua half term deputy president ili waende sawa?🤣
Tanzania ni Nchi ya amani Hatuna mawengeHaijalishi kwangu. Sina haja ya umbea wa jirani anafanya nini.
Ya nyumbani kwangu Tanzania sijayakamilisha.
Sijakuelewa mkuuHoja za hovyo kabisaa
Ni muumini wa kanisa la AICKwani Uhuru Kenyatta hakuwa Muislam..?
Hata Zanzibar kuna wakristoKama ni "kubalance dini", kwani Waislam Kenya wapo Mombasa tu?
Kuna Garissa, 99% Muslims.
🤔🤔🤔🤔Kama unafuatilia siasa za Kenya Gachachagua hakuwa chaguo la Ruto kabisa
Ruto alimtaka Prof Kindiki ila hesabu za kura zikawa haziwapi Ushindi ndipo akalazimika kumchukua Gachagua
😂😂😂
Hata Msingi wa Kanisa uko Zanzibar 😄Hata Zanzibar kuna wakristo
Serikali ya mapinduzi ni ya kidini imejaa waislamu tupuHata Msingi wa Kanisa uko Zanzibar 😄
Anatokea Mlimani ila sijajua kama ni Mkikuyu( mchagga ) au Mmeru🤔🤔🤔🤔
Kindiki ni kabila gan?
Mbona Chadema mpo Wakristo watupu? 😀Serikali ya mapinduzi ni ya kidini imejaa waislamu tupu
🤔🤔🤔🤔Ndio kilichomuangusha gachagua ni kufadhili Gen Z , alikuja kubainika yeye ndio mfadhili wa maandamano, akishirikiana na akina Jimmy wanjigi , hasa hesabu ya Kura za Raila itahamia kwa Ruto kama mambo hayatobadilika maana Raila na Ruto watakua pamoja halafu mlima wataachwa , then waluhya watavutwa , Kenya central iwekwe Kati hapo wakalenjin wote watakua kwa Ruto , calculation ni kuwafanya watu wa mlima wasione wao ndio wamiliki wa Kenya, maana akitokea Rais Wa eneo tofauti na wao anaongoza kwa taabu Sana kama Ruto , Ruto kaanza kutulia baada ya kumvuta Raila hapo ndio utaona kila hesabu imepigwa
AsanteAnatokea Mlimani ila sijajua kama ni Mkikuyu( mchagga ) au Mmeru
Asante bingwa wa tetesi za uwongoUnaelewa maana ya tetesi 😄
Unat....bwa nini?Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongo
Naona ulivyo sikia jina la JK umechekeleaaaa... kama shoga limepata muhaliko kwa P DIDDYkwahiyo Ruto alimuiga JK dhidi ya Gachagua, right?🤣
Haya 😀Asante bingwa wa tetesi za uwongo
Hoja za kudai chadema ni ya wachaga ni hoja ya hovyo kabisaa katika ulimwengu wa ushindani wa kisiasaSijakuelewa mkuu
Ni kweli CHADEMA siyo ya Wachagga, bali ni ya Freeman Mbowe akimuwakilisha mkwewe Edwin Mtei. Hao akina Mnyika, Heche, Lissu ni kama braidmaids tu wa kwenye harusi (wapambe)Hoja za kudai chadema ni ya wachaga ni hoja ya hovyo kabisaa katika ulimwengu wa ushindani wa kisiasa