Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

aliefanya kosa ni Gachagua sio Ruto gentleman,

Deputy president unawezaje kusema William Ruto ni one term President, tena kwa kujipiga kifua kabisa?🤣

Na kwasababu hiyo Dr.Wiliam Ruto nae akona kama ni hivyo basi si bora nae amfanye Gachagua half term deputy president ili waende sawa?🤣
Aahaaaa

Eti half term deputy president
 
Haijalishi kwangu. Sina haja ya umbea wa jirani anafanya nini.

Ya nyumbani kwangu Tanzania sijayakamilisha.
Tanzania ni Nchi ya amani Hatuna mawenge

2030 ni David Kafulila 😀 au yule Rais wa Mabunge ya Dunia mh Dr Tulia PhD 🌹
 
Kama unafuatilia siasa za Kenya Gachachagua hakuwa chaguo la Ruto kabisa

Ruto alimtaka Prof Kindiki ila hesabu za kura zikawa haziwapi Ushindi ndipo akalazimika kumchukua Gachagua

😂😂😂
🤔🤔🤔🤔

Kindiki ni kabila gan?
 
Ndio kilichomuangusha gachagua ni kufadhili Gen Z , alikuja kubainika yeye ndio mfadhili wa maandamano, akishirikiana na akina Jimmy wanjigi , hasa hesabu ya Kura za Raila itahamia kwa Ruto kama mambo hayatobadilika maana Raila na Ruto watakua pamoja halafu mlima wataachwa , then waluhya watavutwa , Kenya central iwekwe Kati hapo wakalenjin wote watakua kwa Ruto , calculation ni kuwafanya watu wa mlima wasione wao ndio wamiliki wa Kenya, maana akitokea Rais Wa eneo tofauti na wao anaongoza kwa taabu Sana kama Ruto , Ruto kaanza kutulia baada ya kumvuta Raila hapo ndio utaona kila hesabu imepigwa
🤔🤔🤔🤔
 
Wasije wakachagua Msomali kwa kigezo cha Uislamu!
Anyway ukiondoa Ukabila Kenya wako smart sana!
Katiba ndiyo inaamua.
 
Hoja za kudai chadema ni ya wachaga ni hoja ya hovyo kabisaa katika ulimwengu wa ushindani wa kisiasa
Ni kweli CHADEMA siyo ya Wachagga, bali ni ya Freeman Mbowe akimuwakilisha mkwewe Edwin Mtei. Hao akina Mnyika, Heche, Lissu ni kama braidmaids tu wa kwenye harusi (wapambe)

Kachukue fomu ya kugombea uwenyekiti wa CDM ndiyo utanielewa
 
Back
Top Bottom