Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 General Election
So mkuu una maana Mungu anatetea wanyonge pekee? So matajiri hawana mtetezi?
Matajiri wanaweza kujitetea wenyewe kwa pesa zao (na mara nyingi wanafanya hivyo) ila makapuku hawana pa kukimbilia, huishia kusema tu "Mungu anakuona"
 
Ni mwizi mkuu huyu! Kumchagua Ruto itathibitisha kuwa Kenya limekuwa taifa la wezi. Huyu ni land grabber na muuaji. Kikuyu mafias wajiandae au wakimbie nchi. Huyu atataka kuweka tabaka la Wakalenjin kwenye tabaka la wezi wenzie.
Jamaa ni mwisho wa maneno kwenye fitna ya kujipatia pochi.
- Huyu ndiye aliyesingizia mahindi ya Tanzania na Uganda yana sumu kuvu(aflatoxin) ili auze mahindi yake aliyolimia huko DRC.
Tz mjiandae na majirani wengine!
Duh [emoji849][emoji848]
 
Iblis hana ubaya alikuwa anaitwa baba wa kusujudu ila mungu alitaka kumdhihaki na kumdhalilisha mbele ya Adam kumwambia amsujudie wakati iblis ni mwema vitabu vitakatifu vinaonyesha iblis hajawahi kuuwa iblis hajawahi kudhulumu mtu wala hana ushirika wowote zaidi ya kukataaa kumsujudia binadam ambae anamadhambi kIbao kama kuua kudhulumu kusema uongo hata ungekuwa ww utakubali kumsujudia mtu muovu?
Makubwa
[emoji848][emoji849]
 
Back
Top Bottom