Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Mbona mama yako aliwatoa wamasai ngorongoro watu walioanza kuishi hata kabla yeye hajavunja ungo?Au Ruto kachanganyikiwa?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mama yako aliwatoa wamasai ngorongoro watu walioanza kuishi hata kabla yeye hajavunja ungo?Au Ruto kachanganyikiwa?!
Bora yeye anataka kujitoa, kuna nchi fulani hawafuati hukumu za mahakama.Hayo ni maneno ya William Ruto Rais wa Kenya akitishia kujitoa kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Haki za binadamu ya Afrika -Arusha.
Chanzo Cha vitisho hivyo vya Ruto ni sakata la Mahakama hiyo kuamuru na kuzuia kufurushwa Kwa watu wa jamii ya Ogir wanaoishi kwenye msitu wa Mau ambapo Kenya inadai wanaharibu Mazingira na inataka kuwatoa.
Jamii hiyo ilifungua kesi hapo Arusha kuzuia Serikali ya Ruto Kuwafurusha kwenye Ardhi Yao ya Asili
Swali.
Kuna haja gani ya kuwa na mahakama ikiwa Nchi Zina uhuru wa kujiunga na kujiondoa?
--
Kenyan President William Ruto this week threatened to pull the country out of the Arusha-based African Court on People’s and Human Rights (ACPHR) over the pressure by residents of a part of the Rift Valley region to be allowed to occupy forest land despite caveats blocking such use.
A minority community, Ogiek, claim the Mau Forest as their ancestral land, a position the African Court entrenched in a decision in 2017, after which political and legal tussles ensued, impacting land registration and development in the region.
On Monday, while addressing the public in Kuresoi, Nakuru County in the Central Rift, the matter came up and the President expressed his frustration with the orders from the continental court restricting the use of the land.
“There is a court in Arusha. They have been taking me in circles, but I have told them they have two options: Either they lift the caveat, or we withdraw membership from that court,” the Kenyan leader said.
Source: Why it’s not so easy for Kenya to quit African Court
Aliwahamisha Kwa staha hajawafukuza na pia Sina hakika kama maasai walifingua kesiMbona mama yako aliwatoa wamasai ngorongoro watu walioanza kuishi hata kabla yeye hajavunja ungo?
Kwahiyo mtu asipofungua kesi maana yake hakuonewa?Aliwahamisha Kwa staha hajawafukuza na pia Sina hakika kama maasai walifingua kesi
Ndio,kwani wewe unaona walionewa Kwa lipi? Wanahamishwa,wanajengewa makazi na wanapewa ArdhiKwahiyo mtu asipofungua kesi maana yake hakuonewa?
Sijajua umri wako upoje...ila nimeshashudia rpc sidoyeka anadhulumu shamba la mtu ambaye karithi kwa wazazi wake akaweka mifugo yake na huyo jamaa hakufanya lolote lile zaidi ya kusikitika vijiweniNdio
Jikite kwenye hoja,ambayo ni kuhamishwa Kwa jamii achana na hizo personalitiesSijajua umri wako upoje...ila nimeshashudia rpc sidoyeka anadhulumu shamba la mtu ambaye karithi kwa wazazi wake akaweka mifugo yake na huyo jamaa hakufanya lolote lile zaidi ya kusikitika vijiweni
Ndio maana nikakuambia tatizo ni umri wako hivi kwa akili ya kawaida samia akiamua jambo liwe hata kama ni kinyume na sheria unadhani kuna mahakama ya kutengua hilo?Jikite kwenye hoja,ambayo ni kuhamishwa Kwa jamii achana na hizo personalities
Kwa nini aamue kinyume na sheria?Ndio maana nikakuambia tatizo ni umri wako hivi kwa akili ya kawaida samia akiamua jambo liwe hata kama ni kinyume na sheria unadhani kuna mahakama ya kutengua hilo?
Wewe ni mgeni na mambo yanayoendelea nchi hii? Au umesahau kuna mmoja alidai muhimili wake umejichimbia chini zaidi ?Kwa nini aamue kinyume na sheria?