Ruto: Mahakama ya Arusha inaniyumbisha, Waamue kuruhusu kuwafurusha Jamii ya Mau Forest au Kenya ijitoe uanachama

Bora yeye anataka kujitoa, kuna nchi fulani hawafuati hukumu za mahakama.
 
Sijajua umri wako upoje...ila nimeshashudia rpc sidoyeka anadhulumu shamba la mtu ambaye karithi kwa wazazi wake akaweka mifugo yake na huyo jamaa hakufanya lolote lile zaidi ya kusikitika vijiweni
Jikite kwenye hoja,ambayo ni kuhamishwa Kwa jamii achana na hizo personalities
 
Jikite kwenye hoja,ambayo ni kuhamishwa Kwa jamii achana na hizo personalities
Ndio maana nikakuambia tatizo ni umri wako hivi kwa akili ya kawaida samia akiamua jambo liwe hata kama ni kinyume na sheria unadhani kuna mahakama ya kutengua hilo?
 
Ndio maana nikakuambia tatizo ni umri wako hivi kwa akili ya kawaida samia akiamua jambo liwe hata kama ni kinyume na sheria unadhani kuna mahakama ya kutengua hilo?
Kwa nini aamue kinyume na sheria?
 
Ndio matokeo ya kongoza walioamka
Mahakama za hapo Nairobee zina mpiga pini kila akitaka kukurupuka; Ila anatolea povu Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…