RUTO NA RAILA wasaini mkataba wa makubaliano, kufanya kazi pamoja

Strong ladg

Senior Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
170
Reaction score
445
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya.
Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa upinzani?
"Ruto, Raila waeleza sababu ya kusaini mkataba wa makubaliano | Mwananchi" https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...abu-ya-kusaini-mkataba-wa-makubaliano-4955492
 
Winer is Raila. Ruto alikataa kufanyakazi na Raila, ameiona changamoyo ya kiutawala. Raila ni Rsisi kivuli, hana jeshi ila ana nguvu ya ummna.
 
Raila mgumu kila upande huwa hatoboi, acha wambebe hivyo hivyo.
 
Rais wa Kenya William Ruto pamoja na mwanasiasa maarufu nchini humo Raila Odinga wamesaini mkataba utakaowaruhusu kufanya kazi kwa ushirikiano katika kushughulikia matatizo mbalimbali yanayowakabili wakenya.
Je unachukuliaje hatua hii ya Rais kusaini mkataba wa makubaliano na kiongozi wa upinzani?
"Ruto, Raila waeleza sababu ya kusaini mkataba wa makubaliano | Mwananchi" https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...abu-ya-kusaini-mkataba-wa-makubaliano-4955492

MK254, au namna gani?
 
Ruto ni Big Brain,,,,alitaka kumuweka Raila kule AU akachemka, now kamsogeza karibu ili 2027 asimsumbue, anaujua moto wake ,,,, !
 
Back
Top Bottom