Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Ruto: Niliwapa Fursa zote Gen Z Ili tufikie muafaka wameshindwa kuzitumia wakijidai wao ni zaidi, sasa Basi!

Katika idadi ya watu hao vijana ndio wengi, kidemokrasia nchi ni yao, ni lazima uwasikilize. Silaha ni chache huwezi kuuwa wote.
 
Chadema na kunguni zao wako na furaha kweli ya kutamani ya Kenya yahamie Tz, kwa tanzania hii, amani ni bora kuliko thamani ya watu 100.
 
Back
Top Bottom