G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Jul 22, 2024 #181 Crocodiletooth said: Wasubiri wakati wa kupiga kura wasimpe kura THATS MEAN OF DEMOCRACY! Akiwachekea atavuna mabua, RUTO BE SERIOUSLY! Click to expand... walishasema wao siyo arsenal wasubirie had 2027
Crocodiletooth said: Wasubiri wakati wa kupiga kura wasimpe kura THATS MEAN OF DEMOCRACY! Akiwachekea atavuna mabua, RUTO BE SERIOUSLY! Click to expand... walishasema wao siyo arsenal wasubirie had 2027
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Jul 22, 2024 #182 Andrew123 said: Ndo wataanza kulia tena. Ruto hakikisha unawapa nidhamu ya kutosha. Click to expand... hana huo ubavu,
Andrew123 said: Ndo wataanza kulia tena. Ruto hakikisha unawapa nidhamu ya kutosha. Click to expand... hana huo ubavu,
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jul 22, 2024 #183 Katika idadi ya watu hao vijana ndio wengi, kidemokrasia nchi ni yao, ni lazima uwasikilize. Silaha ni chache huwezi kuuwa wote.
Katika idadi ya watu hao vijana ndio wengi, kidemokrasia nchi ni yao, ni lazima uwasikilize. Silaha ni chache huwezi kuuwa wote.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 22, 2024 #184 Chadema na kunguni zao wako na furaha kweli ya kutamani ya Kenya yahamie Tz, kwa tanzania hii, amani ni bora kuliko thamani ya watu 100.
Chadema na kunguni zao wako na furaha kweli ya kutamani ya Kenya yahamie Tz, kwa tanzania hii, amani ni bora kuliko thamani ya watu 100.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 22, 2024 #185 uttoh2002 said: Muunge mkono mpaka atakapotolewa Click to expand... Sawa
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 22, 2024 #186 DIRIMULAINA said: Nenda kawaue wewe, unataka nani awaue Click to expand... Nyamaza mkuu
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,552 Reaction score 2,741 Jul 22, 2024 #187 Huwezi shindana na wenye njaa, kuwa makini watakuondoa hapo ulipo