johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mawaziri wa Kenya siyo wabungeKuna Waziri ambaye huwa haingii bungeni?
Akili yako iko bongo tuu..Kuna Waziri ambaye huwa haingii bungeni?
AmekaririAkili yako iko bongo tuu..
Kiongozi hapaswi kusema "NITA" badala yake aseme Tuta...Rais mteule wa Kenya Dkt. Ruto amesema atabadilisha sheria ili Mawaziri wawe wanaingia Bungeni na kuelezea hoja za serikali na Kujibu maswali ya Wabunge
Ruto alikuwa anaongea na washindi wa muunganiko wa Kenya Kwanza
Chanzo: Citizen tv
Yeye ndiye anaweka sahihi sheria kutumikaKiongozi hapaswi kusema "NITA" badala yake aseme Tuta...
Nita maana yake maamuzi na utashi waka=udikteta.
Watakoma mwaka huu baada ya miaka 2 utaanza kusikia sauti ya "Dicteta"NITABADILISHA......