Uchaguzi is all about numbers,raila ana number za kutosha? Au unadhani kenya ni kama bongo mahera ndio anaamua huyu apate kura ngapi.Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
mkuu kuna picha na video zinatrend ,Ruto ana mabasi zaidi ya 10 yote bendera za chama chake na kuna kundi la watu 400 imeandaliwa kila sehemu anazunguka nao,wakimwagwa uwanjani utaona njano tupu kumbe ni wengi ni wale wale.Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
labda unauhofia usalamaKila siku huwa najiuliza kwanini Mimi siwezi kuwa katikati ya umati,
Yaani kwangu sehemu ikifikia watu hamsini siwezi kukaa hapo
Ruto hapati uraisView attachment 2234129View attachment 2234130View attachment 2234132View attachment 2234131hii ni jana county ya Nyeri
🤣Huko Nyeri anakibalika lakini sehemu kubwa ya Kenya inamkubali Raila. Kumbuka hawa jamaa wanaenda kwa ukabila na ukanda. Hata hivyo Raila ana advantage kubwa kwani anaungwa mkono na Kenyatta
Sema hakyamungu
Au sioRuto hatoamini macho yake
EeeeBado unaamini hao wote watamchagua Ruto
🤣🤣Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
Sawa walikusikia hawakumchaguaMikutano kuwa na watu wengi sio kigezo cha kukubalika kwa Mgombea, kila mtu anakuja mikutano I kwasababu zake,wapo wanaotaka kumuona tu,wapo wanaokuja ili kusikia anasema nini makusudi walinganishe sera zake na zile za wenzie,wapo wanaokuja ili kum enjoy tu,wapo pia wanaokuja mkutanoni km kuiga mkumbo tu.