Ruto the 5th

Ruto the 5th

Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
 
Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
Uchaguzi is all about numbers,raila ana number za kutosha? Au unadhani kenya ni kama bongo mahera ndio anaamua huyu apate kura ngapi.
 
Namkubali Ruto lkn naona hana nguvu ya kupambana Raila
mkuu kuna picha na video zinatrend ,Ruto ana mabasi zaidi ya 10 yote bendera za chama chake na kuna kundi la watu 400 imeandaliwa kila sehemu anazunguka nao,wakimwagwa uwanjani utaona njano tupu kumbe ni wengi ni wale wale.
 
Kila siku huwa najiuliza kwanini Mimi siwezi kuwa katikati ya umati,

Yaani kwangu sehemu ikifikia watu hamsini siwezi kukaa hapo
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
The 5th in kwale county!
288732C7-4944-4326-9327-617E26529060.jpeg
00213571-BD40-42AC-921F-508E8BE7C318.jpeg
00213571-BD40-42AC-921F-508E8BE7C318.jpeg
 
Kenya kwanza principals wetangula & musalia mudavadi in bungoma county
D0A91055-C2D2-4871-9485-3A38BF6CC663.jpeg
1DCF1A80-9066-4C31-A586-D0AF53E41CAC.jpeg
1DCF1A80-9066-4C31-A586-D0AF53E41CAC.jpeg
 
Hiyo ndio nchi ya amani sasa. Mgombea wa urais ambaye pia ni makamu wa Rais anakaribiwa na watu hivyo mpaka wanagusa gari. Ingekuwa bongo raia wangekuwa mbali kabisa na gari ya mgombea.
 
Mikutano kuwa na watu wengi sio kigezo cha kukubalika kwa Mgombea, kila mtu anakuja mikutano I kwasababu zake,wapo wanaotaka kumuona tu,wapo wanaokuja ili kusikia anasema nini makusudi walinganishe sera zake na zile za wenzie,wapo wanaokuja ili kum enjoy tu,wapo pia wanaokuja mkutanoni km kuiga mkumbo tu.
 
Sawa walikusikia hawakumchagua
 
Back
Top Bottom