Kenya 2022 Ruto vs Odinga Agosti 9/2022

Kenya 2022 General Election
πŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
nipo kenya na ninafuatilia vyema siasa.

angalia umoja wa "Kenya kwanza" unataswira ya umoja wa Taifa la kenya, hiyo ni nguvu tosha ya ushindi.
Kushinda uchaguzi Kenya Ni lazima mshindi apate Kura 50%+1 ambayo Ruto hawez kupata. Amepanik tayari kwa kuanza Julia Lia kuwa anaonewa. Uchaguzi utaenda Round 2 ambako Ruto atalambwa mapema asubuhi
 
Kushinda uchaguzi Kenya Ni lazima mshindi apate Kura 50%+1 ambayo Ruto hawez kupata. Amepanik tayari kwa kuanza Julia Lia kuwa anaonewa. Uchaguzi utaenda Round 2 ambako Ruto atalambwa mapema asubuhi
naamini matokeo ya uraisi yatatangazwa rasmi tarehe 11/8, usiondoke, utamjua rais 5 wa Jamuhuri ya Kenya, hatuna haja ya kuandikia mate.
uchaguzi huu ni round mmoja tu mzee chaliiiiiii!!!

"KENYA KWANZA" imekuwa tishio kwa Mzee wetu Odinga mpaka sahii sioni kama anaweza kurecover.
 
Uko na Kura Kenya ama unaongea tu [emoji23].
Sisi wapiga Kura wa Kenya ndio tunajua Nani mshindi
 
unajichanganya kwa maneno yako, unadai matokeo tarehe 11/08 baadae unadai KENYA KWANZA ndio tishio na huoni Raila ataweza ku-recover...tuchukue lipi?
 
Unaota ndoto za mchana!!Ruto kila siku ni kulalamika tu!!ili kutafuta huruma kwa wapiga kura, kwa bafaye huko mbeleni sawa, lakini sio kwa sasa..
 
Kama uchaguzi utakuwa huru, Haki na uwazi naamini Ruto atashinda kwa kishindo.

Ukiwashindanisha kwa hoja, Ruto ameonyesha uhodari wa hali ya juu ktk kujenga hoja lkn pia ana nguvu ya Ushawishi zaidi ya mpinzani wake.
Raila akishindwa uchaguzi hatakubali, umri umemtupa na anajua hii ni karata yake ya mwisbo, hivyo tutegemee mgogoro pale atakaposhindwa. Ila Ruto ndiye atashinda ingawa system Kenya inafanya kazi kubwa kumsaidia Raila.
 
Raila haihitaji system. Hata uchaguzi wa 2017 alishinda dhidi hadi Mahakama ya Upeo ukabatilisha uchaguzi wa uhuruto. Alipata 44% ya kura zote zilizopigwa so essentially he's just looking for 6% to top up in order to be declared the winner
 
2017 hakushinda, mahakama ilitengua uchaguzi sababu iliona kulikuwa na irregulaeities. Raila aliamua kususia uchaguzi wa marudio baada ya kuona hawezi kushinda kama alikuwa na uhakika alishinda aliogopa nini kuingia ulingoni tena?

Pili hiyo 44% unayosema akishinda sio static , kuna wapiga kura wapya manilioni na kuna wale wanaoswing kutegemeana na upepo wa kisiasa mfano disintegration ya mablock ya kisiasa ya wakati ule .

Usiweke ushabiki bali jaribu kuangalia uhalisia.
 
2017 elections were nullified because of irregularities and illegalities. The commission engaged in widespread illegalities which denied Odinga his votes. Wewe jiulize ni kwa nini tume ya uchaguzi ilikataa katakata kifungua servers za IEBC hadi leo hata baada ya kuamuriwa na mahakama kufanya hivyo? Ni kwa sababu wanajua walichofanya kwenye hizo servers. Hizo servers ndio zilibeba matokeo kamili ya huo chaguzi na wangefanya hivyo ingebainika ni nani alishinda huo uchaguzi kikamilifu.

Kuhusu percentages, kura za maoni zilizotolewa hadi kufikia sasa hazionyeshi kwamba Raila amelose kura kwenye ngome zake. In fact, amepata umaarufu kwenye maeneo ambayo hayakumpigia kura 2013 na 2017 Kama eneo la Mlima Kenya.
 
Kama alishinda aliogopa nini kushiriki uchaguzi wa marudio ? What did he want to preempt?

Kura za maoni ziko compromised, .
 
Kama alishinda aliogopa nini kushiriki uchaguzi wa marudio ? What did he want to preempt?

Kura za maoni ziko compromised, .
Alisusia kwa sababu there were no reforms made as per the court's ruling. To begin with, they did not even open the servers as was directed by the courts. Team bado ilikuwa ni ile ile that bungled the main election so there was no point taking part in another elections that was going to be bungled again
 
Jambo la msingi nawashauri wagombea wote Ruto na Raila wakubali matokeo na aliyeshinda apongezwe.
tuachane na tabia ya kukataa matokeo kila mara kama alivyo zoea baba.
 
He should have not crossed the river before he could reach it. Angeshiriki kwanza hallafu aone kama uchaguzi ungevurugwa au la sio speculation.
 
He should have not crossed the river before he could reach it. Angeshiriki kwanza hallafu aone kama uchaguzi ungevurugwa au la sio speculation.
What speculation when a simple thing like opening servers as was directed became a problem to them? Do you call that speculation?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…