Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Uchaguzi hautaingia duru la pili. Raila ameshinda mapema kabisa uchaguzi huuKwenye uchaguzi huu huko kenya mimi ninaiona sana serikali ya umoja wa kitaifa, Odinga rais, Ruto pm ninahisi uchaguzi katika duru ya kwanza hakuna atakaye pata zaidi ya 50% hivyo ngoma itaingia duru ya pili ambapo sasa hapo lolote linaweza kutokea ila ninampa bwana kitendawili nafasi zaidi