Kenya 2022 Ruto vs Odinga Agosti 9/2022

Kenya 2022 General Election
Uchaguzi hautaingia duru la pili. Raila ameshinda mapema kabisa uchaguzi huu
 
Uchaguzi wa kesho kutwa, utakuwa ni uchaguzi wa kihistoria, kwa sababu utakuwa ni uchaguzi wa Kiongozi/Rais sio kabila lake, kwa mara ya kwanza wakenya wote wanaweka pembeni makabila yao na kuchagua mtu atakaye weza kuisongesha kenya mbele naye sio mwengine bali ni...............................hustler.......Rutooooo.
 
Picha ya kwanza ya juu ni mkututano wa mwisho wa Ruto iliyofanyika uwanjani Nyayo jijini Nairobi

Picha ya pili ni uwanja wa Kasarani ambako Raila Odinga alifanya mkutano wake wa mwisho wa kampeni.

Nairobi is the face of Kenya na kwa kuangalia tu hizi picha mbili, sio vigumu kujua nani ndio maarufu zaidi kati ya hawa viongozi wawili na pia kujua ni wapi ndio mawimbi yanaelekea
 
Tatizo Raila huwa hakubali kushindwa, sasa kinacho takiwa ni kumtoa round ya kwanza ili asipate sababu ya kupinga matokeo.
 
wakenya karibu milioni 22 wamejiandikisha kupiga kura hiyo kesho,

inatatajiwa kuwa wakenya watajitokeza kwa wingi hiyo kesho kutekeleza haki yao ya kikatiba..
maandalizi yamekamilika.
 
Pongezi kwa Rais Mteule Dr. Wiliam Ruto.
Hakika Ruto anastahili kuliongoza Taifa la Kenya.
Hongera kwa wakenya wote.
 
Wewe hakuna kitu unaelewa na hata ushaambiwa na wenzako. Wacha sisi wakenya ndio tuzungumzie siasa za Kenya coz sisi ndio tunaielewa. Wewe unabahatisha
sasa umeamini kuwa sibahatishi.

Sasa ni Muda wa Kumpongeza Rais mteule Dr. W. Ruto Rais wa tano wa Kenya.
 
Umesahau Kenya wanaruhusiwa kupinga matokeo ya uchaguzi mahakamani?
hata mwaka 2017 alienda kupinga ushindi wa Rais Uhuru Mahakamani.....hiyo ni haki yake lkn kwa sasa Ruto ndiye Rais mteule anasubiria kuapishwa.

Washauri wa Raila wangemshauri tu akubali matokeo, maana hakuna hoja ya msingi ya kupinga matokeo zaidi ya kuchelewesha taratibu za kuapishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…